Mwamba alietunyoosha huyu hapa

Mwamba alietunyoosha huyu hapa

Aibu muhimu
Labda majirani wa zamani hawakuwa wanaa kama wa enzi hizi.

Ila kwa baba angu nifanye hicho kitu nitachapwa nizimie.

Nakumbuka adv
palikuwa na trip ya shule, na class yetu tukapanga trip kwa ile tarehe.
Home nikaenda kudanganya ni ile trip ya shule, nikapewa hela.
Mimi nikaenda trip ya darasa,, imefika saa 1 sijafika nyumbani sababu ya foleni za Dar.
Mshua kapiga simu shule 😂
Aloo kuangaliwa jina hata kwa trip ya shule sikuwepo.
Mshua akanikaanga

Nikarudi home nikaipata fresh
Na kesho shule nikakipata cha moto ‘mishule ya jeshi tena inavyokuwaga na fimbo zao spesho zimekaushwa 🤣

Aisee nilikula mboko
Naulizwa nilikokuwa nakosa majibu ‘hapo sitaki kulichoma darasa maana ni wangetandikwa wotee.
Naulizwa ulikuwa kwa mwanaume? Nasema hapana madam me hata sijawahi hata ukinikagua 😂😂
Sasa kwanini haukuwepo nyumbani na trip hukuwepo!?
Maswali yanasindikizwa na viboko.

Nilikoma sanaa
Sasa ndio naona, malezi ni kitu kigumu sana, ona binti yako unayempenda kwa dhati kabisa hayupo tour, hayupo shuleni, hayupo nyumbani...🤣🤣yani lazima kama mzazi kichwa kiume!
 
Ila miaka ya nyuma pesa Za wanaume zilikua zinalika kirahisi sana

Hawa wa siku hizi wamejanjaruka ukifanikiwa hata kula 10,000 ujue utaliwa tu
Kweli kabisa zamani unaweza kula hela na mwanaume akakupa ma good times ya kutosha na asikukule kabisa. Siku hizi mpaka umekula kilo yake ya kitimoto na savana moja jua shughuli ipo.

Siku hizi tuna vijana wa hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa akamuomba sista watoke, sista akakubali halafu tukaenda wote., Siku nyingine ananiita mie tuanenda wote vile vile....ndio tulivokuaga yani NIITE TUJE, Pale mezani jamaa anakunywa kwa aibu tu glass haishuki anajichekesha chekesha akasema dah sawa bwana tukamuuliza sawa nini hana majibu anacheka tu tukaagiza....kula kunywa na kusaza.

Mimi namuita shemeji sista nae anamuita shemeji, akaona mambo hayawezekani tena akaachana na mapenzi ikawa urafiki tu akaswma wakati namfata mdogo ako niliona ananisumbua we umetulia, nimekufata wewe naona unasumbua mdogo ako katulia ndio tukaanza wote kumuita shemeji 😁....kila jpili tunatoka wote kwakweli alijua kutupa good time tulikua tunazunguka tu ni kula na kunywa, urafiki ulikolea akawa anakuja hadi home anatuijia na anaturudisha....

Dada angu alikua anampango wa kuanza kujitegemea, mwamba akamnunulia godoro, na vitu vidogo vidogo...tukitoka out akinunua kitu tunanunuliwa wote
Kimbembe kikaanzia hapa sasa....🙄 Dada alipata boyfriend ambae wakawa serious anakuja kumtambulisha home, mi sijui alimpiga sound gani yule sponsor wetu akaleta kreti mbili za beer, kuku wawili akampa na hela wakati hajui kuna nini kumbe ni maandalizi mchumba anakuja kumtambulishwa halafu siku hiyo tukakataa kutoka......sijui nani alikuja kumpenyezea kwamba ilikua utambulisho 🤣🤣🤣

Siku hiyo natoka school jioni kama saa kumi hivi, nakuta pale home taharuki watu wamejaa kucheki hivi namuona sponsor huyu hapa jicho jekundu mamaeeeehhh sijawahi kumuona vile napita ndani nakuta sista katepeta hafai 🤣🤣🤣 mama kakunja sura yani vurugu sista akaniambia jamaa kaja kudai vitu vyake vyote...kaja na jamaa mwingine mpambe wake sponsor kasimama kwa mbali anapaza sauti "lete godoro" hilooooo tukalibeba tukatoa nje mpambe wake akapokea "lete chaja ya simu" "lete ile nguo nilikushonea" sista akaitoa sponsor akairarua pale akaitupa pembeni mara "letee chupi zile" tobaaaaaaaa hiyo chupi ndio nipo nimeivaa 🤣🤣🤣 nikapata kijasho mama akasema hamuwezi kumpa nguo za ndani hapana.

Kichwani sista kasuka weaving jamaa ndio alitoa hela "leteee hilo wigi" uwiii akakaa chini huku natetemeka namfumua nywele tukampa sista akabaki na twende kilioni zake 😁 akasogea karibu yetu lete zile hereni za silva sista hataki kutoa anasema zimepotea kubishana bishana akajishika nyuma ya kiuno tulikimbia.....heeeee yani hereni tu ndio atutolee mguu wa kuku 😔 akaona tushajificha yule jamaa ndio kuondoka....ila watu wamejaa yani aibu noma kilo kumi.

Akatuacha na maswali what's next, bi mkubwa alitufokea mno, ikabidi sista aende polisi kutoa taarifa jamaa akaitwa akapigwa beat pale na maafande wa kike na kumchamba juu we unadai vitu kwa mwanamke ye mapenzi alokupa utalipa 🤣🤣 Kumbe masikini hata upaja hajawahi kushika

Tukachuniana baada ya mwezi akatufata tena jamani samahani kwa yote twendeni mahali tukatoe tofauti zetu....tukakataa huu ndio ulikuaga mwisho hatukurudia tulikoma yani.
Ukila lazima Uliwe.....
 
Kumbe mambo ya cha mtu hakiliwi bure ni ya tokea zamani 😂
Nikadhani ni ya hawa watoto wa Pharao zama hizi. Ukila buku yake anataka akuguse nyonyo
Ila wewe...au basi
 
Ila miaka ya nyuma pesa Za wanaume zilikua zinalika kirahisi sana

Hawa wa siku hizi wamejanjaruka ukifanikiwa hata kula 10,000 ujue utaliwa tu
Uliwe kwa buku 10? Mi kuliwa niamue tu...ivo hata bure nampa lakini siyo pesa ndo inifanye nitafunwe
 
Ila mabinti na vya dezo...

Sasa mmeshaambiwa jamaa kaungua ila bado kwenye offer mnaenda imagine kawachanganyia mavitu kwenye vinywaji akaenda kusuuza rungu!!si mngepukutika na nyie
 
Baada ya kukumbuka lile tukio la kufukuzwa, japo sio ishu saaana nimeona niwasimulie na huyu mwamba sasa alietunyoosha mimi na dada angu na huu ndio ukawa mwisho wa outing.....yani outing zikawa za moto hakuna alietaka kusikia mtoko tena.

Nicheke tu kwanza...haya mambo yote yalikua ni harakati za usichanani huko, kwetu tupo wakike wawili japo kanizidi kidogo ila hizi harakati za kijinga tulikuaga bega kwa bega na ni mambo yaliyotokea miaka ya nyuma huko jamani msimind sana [emoji16], sasa hivi sisi ni watu wazima wamama na familia zetu tuna watoto wa kutosha....hivo hizi harakati ni zilipendwa sisi wenyewe tukikaa kukumbushiana ni vicheko tu vinatalawa.

Dj nisindikize na amekoma side mnyamwezi[emoji16].....Enzi zile zile za kufukuzwa , siku moja jpili nimetoka kusalimia ndugu mitaa ya ilemela kule natembea sasa nikapande gari kurudi home nyuma yangu ikawa inapita rav 4 ya maroon akashusha vioo haujambo binti, twende nikusogeze nikazuga zuga bado natembea akarudia tena twende nikusogeze usijali nami naelekea huko nikaona isiwe shida ngoja nisipigwe vumbi hapa chap nikafungua mlango nikazama ndani, story zikaanza salamu unaitwa nani unaenda wapi huku ulikua wapi.......akasema nlikua na ishu zangu hapa ila ngoja nikupeleke akanifikisha hadi mitaa ya nyuma nyuma kidogo nikamwambia niache hapa nitafika home akatoa noti noti akanipa na namba akaniandikia kwa karatasi sikua na simu mie.

Kesho yake sasa Monday, naenda skonga nimejaa [emoji16], nimekaa kwenye desk nikatoa moja nikampa nliekua nimekaa nae akauliza leo una hela nyingi umetoa wapi nikamsimulia....akaguna mmmhh sikumpa details story tu general kwamba nilikutana na mtu mitaa flani akanipa lift, yeye akasema dah huyo jamaa ana rav 4 ya maroon, nikajibu ndio, mrefu mweusi anaitwa flani mie ndio akacheka nkaona mmmh[emoji848][emoji848] akasema jamaa muhuni sana sketi haipiti na inasemekana ana ngoma. Nkaona hapa mambo yashapandiana mapema sana[emoji16]

Zimepita siku kadhaa nikamuona mitaa ya home anasimamia ujenzi wa hotel flani, basi kila nikipita ananipa vihela akiomba mtoko naruka ruka, akaona nampotezea muda tu. Siku moja sista kapita akamuona akaanza kufatilia akampa namba akampa na hela basi kujifanya ana akili sista akapewa namba ya tigo mie voda kumbe sisi huwa tunasimuliana tena ukiwa ni mtu tunamchukulia poa tu hamna mwenye mpango nae....sis akawa ananipa story sasa nimekutana na lijamaa limenipa hela bla bla ila character ni za yule akamdanganya na jina mi nikamwambia mbona huyo mtu ndio alienipa mie hela [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukacheka tu.....
Natabiri, mwisho wa story wote mlitoa mbususu
 
Jamaa akamuomba sista watoke, sista akakubali halafu tukaenda wote., Siku nyingine ananiita mie tuanenda wote vile vile....ndio tulivokuaga yani NIITE TUJE, Pale mezani jamaa anakunywa kwa aibu tu glass haishuki anajichekesha chekesha akasema dah sawa bwana tukamuuliza sawa nini hana majibu anacheka tu tukaagiza....kula kunywa na kusaza.

Mimi namuita shemeji sista nae anamuita shemeji, akaona mambo hayawezekani tena akaachana na mapenzi ikawa urafiki tu akaswma wakati namfata mdogo ako niliona ananisumbua we umetulia, nimekufata wewe naona unasumbua mdogo ako katulia ndio tukaanza wote kumuita shemeji 😁....kila jpili tunatoka wote kwakweli alijua kutupa good time tulikua tunazunguka tu ni kula na kunywa, urafiki ulikolea akawa anakuja hadi home anatuijia na anaturudisha....

Dada angu alikua anampango wa kuanza kujitegemea, mwamba akamnunulia godoro, na vitu vidogo vidogo...tukitoka out akinunua kitu tunanunuliwa wote
Kimbembe kikaanzia hapa sasa....🙄 Dada alipata boyfriend ambae wakawa serious anakuja kumtambulisha home, mi sijui alimpiga sound gani yule sponsor wetu akaleta kreti mbili za beer, kuku wawili akampa na hela wakati hajui kuna nini kumbe ni maandalizi mchumba anakuja kumtambulishwa halafu siku hiyo tukakataa kutoka......sijui nani alikuja kumpenyezea kwamba ilikua utambulisho 🤣🤣🤣

Siku hiyo natoka school jioni kama saa kumi hivi, nakuta pale home taharuki watu wamejaa kucheki hivi namuona sponsor huyu hapa jicho jekundu mamaeeeehhh sijawahi kumuona vile napita ndani nakuta sista katepeta hafai 🤣🤣🤣 mama kakunja sura yani vurugu sista akaniambia jamaa kaja kudai vitu vyake vyote...kaja na jamaa mwingine mpambe wake sponsor kasimama kwa mbali anapaza sauti "lete godoro" hilooooo tukalibeba tukatoa nje mpambe wake akapokea "lete chaja ya simu" "lete ile nguo nilikushonea" sista akaitoa sponsor akairarua pale akaitupa pembeni mara "letee chupi zile" tobaaaaaaaa hiyo chupi ndio nipo nimeivaa 🤣🤣🤣 nikapata kijasho mama akasema hamuwezi kumpa nguo za ndani hapana.

Kichwani sista kasuka weaving jamaa ndio alitoa hela "leteee hilo wigi" uwiii akakaa chini huku natetemeka namfumua nywele tukampa sista akabaki na twende kilioni zake 😁 akasogea karibu yetu lete zile hereni za silva sista hataki kutoa anasema zimepotea kubishana bishana akajishika nyuma ya kiuno tulikimbia.....heeeee yani hereni tu ndio atutolee mguu wa kuku 😔 akaona tushajificha yule jamaa ndio kuondoka....ila watu wamejaa yani aibu noma kilo kumi.

Akatuacha na maswali what's next, bi mkubwa alitufokea mno, ikabidi sista aende polisi kutoa taarifa jamaa akaitwa akapigwa beat pale na maafande wa kike na kumchamba juu we unadai vitu kwa mwanamke ye mapenzi alokupa utalipa 🤣🤣 Kumbe masikini hata upaja hajawahi kushika

Tukachuniana baada ya mwezi akatufata tena jamani samahani kwa yote twendeni mahali tukatoe tofauti zetu....tukakataa huu ndio ulikuaga mwisho hatukurudia tulikoma yani.
😁 mlikua mnapenda vya bure sana
 
Aibu muhimu
Labda majirani wa zamani hawakuwa wanaa kama wa enzi hizi.

Ila kwa baba angu nifanye hicho kitu nitachapwa nizimie.

Nakumbuka adv
palikuwa na trip ya shule, na class yetu tukapanga trip kwa ile tarehe.
Home nikaenda kudanganya ni ile trip ya shule, nikapewa hela.
Mimi nikaenda trip ya darasa,, imefika saa 1 sijafika nyumbani sababu ya foleni za Dar.
Mshua kapiga simu shule 😂
Aloo kuangaliwa jina hata kwa trip ya shule sikuwepo.
Mshua akanikaanga

Nikarudi home nikaipata fresh
Na kesho shule nikakipata cha moto ‘mishule ya jeshi tena inavyokuwaga na fimbo zao spesho zimekaushwa 🤣

Aisee nilikula mboko
Naulizwa nilikokuwa nakosa majibu ‘hapo sitaki kulichoma darasa maana ni wangetandikwa wotee.
Naulizwa ulikuwa kwa mwanaume? Nasema hapana madam me hata sijawahi hata ukinikagua 😂😂
Sasa kwanini haukuwepo nyumbani na trip hukuwepo!?
Maswali yanasindikizwa na viboko.

Nilikoma sanaa
Huo ujinga wa trip umewagharimu wengi sana kwenye maisha ya sekondari. Ulienda wapi kwan?
 
Back
Top Bottom