Mwamba alietunyoosha huyu hapa

Mwamba alietunyoosha huyu hapa

Ulipotaja ilemela tu, umenikumbusha Dinah wangu na dimples zake. Alaaniwe sana wakati ule simu hakuna anakupa appointment mkutane mahali halafu hatokei.
 
Ila miaka ya nyuma pesa Za wanaume zilikua zinalika kirahisi sana

Hawa wa siku hizi wamejanjaruka ukifanikiwa hata kula 10,000 ujue utaliwa tu
😂😂😂😂😂
 
[emoji2788][emoji2788] Leta vyupi hivyo kabla sijawavuruga.

[emoji3][emoji3][emoji3] Ungeivuaje mbele ya umati angeamua kukaza?.
 
Aibu muhimu
Labda majirani wa zamani hawakuwa wanaa kama wa enzi hizi.

Ila kwa baba angu nifanye hicho kitu nitachapwa nizimie.

Nakumbuka adv
palikuwa na trip ya shule, na class yetu tukapanga trip kwa ile tarehe.
Home nikaenda kudanganya ni ile trip ya shule, nikapewa hela.
Mimi nikaenda trip ya darasa,, imefika saa 1 sijafika nyumbani sababu ya foleni za Dar.
Mshua kapiga simu shule 😂
Aloo kuangaliwa jina hata kwa trip ya shule sikuwepo.
Mshua akanikaanga

Nikarudi home nikaipata fresh
Na kesho shule nikakipata cha moto ‘mishule ya jeshi tena inavyokuwaga na fimbo zao spesho zimekaushwa 🤣

Aisee nilikula mboko
Naulizwa nilikokuwa nakosa majibu ‘hapo sitaki kulichoma darasa maana ni wangetandikwa wotee.
Naulizwa ulikuwa kwa mwanaume? Nasema hapana madam me hata sijawahi hata ukinikagua 😂😂
Sasa kwanini haukuwepo nyumbani na trip hukuwepo!?
Maswali yanasindikizwa na viboko.

Nilikoma sanaa
Umesoma Jitegemee JKT.
 
Sponsor nimemkubal anafaa kupewa umwenyekiti sijui bado yupo

Kuna mwamba huku kwetu ni malaya sana anapenda vibinti vidogo alifanya kama huyo jamaa yenu ya kuvinunulia na kuvipatia hela vitoto mapacha na mwisho wa siku kavikula vyote
 
Nimefuatilia nikiwa na hamu ya kusoma kama kuna sehemu kawanyoosha threesome.
 
Evelyn Salt

😂😂😂😂 wadogo zako wa kike wana kitu cha kujifunza. Ila mwamba kama alikuwa anajua ni urafiki tu kwa nini awe na wivu? Alishindwa hata kuwanyoosha wote wawili🤔
 
Aibu muhimu
Labda majirani wa zamani hawakuwa wanaa kama wa enzi hizi.

Ila kwa baba angu nifanye hicho kitu nitachapwa nizimie.

Nakumbuka adv
palikuwa na trip ya shule, na class yetu tukapanga trip kwa ile tarehe.
Home nikaenda kudanganya ni ile trip ya shule, nikapewa hela.
Mimi nikaenda trip ya darasa,, imefika saa 1 sijafika nyumbani sababu ya foleni za Dar.
Mshua kapiga simu shule 😂
Aloo kuangaliwa jina hata kwa trip ya shule sikuwepo.
Mshua akanikaanga

Nikarudi home nikaipata fresh
Na kesho shule nikakipata cha moto ‘mishule ya jeshi tena inavyokuwaga na fimbo zao spesho zimekaushwa 🤣

Aisee nilikula mboko
Naulizwa nilikokuwa nakosa majibu ‘hapo sitaki kulichoma darasa maana ni wangetandikwa wotee.
Naulizwa ulikuwa kwa mwanaume? Nasema hapana madam me hata sijawahi hata ukinikagua 😂😂
Sasa kwanini haukuwepo nyumbani na trip hukuwepo!?
Maswali yanasindikizwa na viboko.

Nilikoma sanaa
Depal

Inabidi watoto wako pia usiwanyime mapigo😃
 
Back
Top Bottom