Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,683
- 4,900
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio kweli!Zilipendwa
Zinapendwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sio kweli!Zilipendwa
Upo sahihi kabisa mkuu!!Kwa stori ya Mleta mada huenda alipata kulelewa kwa sehemu Kubwa na Mama peke yake (Pengine Baba alikuwa mbali kikazi/Walitengana na Mama/Alitangulia mbele ya haki).
Kulea mtoto peke yako/ Single Parent iwe Me/Ke peke yake Lina implications Sana kwenye Malezi ya mtoto( Speaking from experience)
Kuna baadhi ya Tabia mtoto hawezi kuzionyesha/Develop Baba akiwa Mkali nyumbani.
Ingawaje suala la Malezi kwa Ujumla ni kumwomba Mungu asaidie tu.
Biblia inasema "Mlee Mtoto katika Njia impasayo(ya KiMungu) naye hatoiacha hata atakapokuwa Mzee"
Anyhow, huenda Mleta mada amekuja kuchangamsha Kijiwe lakini Lesson learnt.
Mungu atusaidie kwenye Malezi ya Watoto wetu, manake tunawalea kwenye kipindi kigumu Cha Utandawazi, Ubusy wa Utafutaji Mama/Baba wote wako busy kwenye kutafuta hivyo majukumu ya kulea tumewaachia Dada wa Kazi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 JamaniKwa sauti kubwa ya chawa wa sponsor " RUDISHENI NA CHUPI HIZO[emoji3][emoji3][emoji3]"
Hivi inamaana teenagers wanaolelewa na wazazi wawili hawanaga ngendembwe?😁Upo sahihi kabisa mkuu!!
Wanazo tena za kutosha sana, tena wanaweza kushindikana kabisa. Sema "sauti ya baba ni sauti ya Mungu"🤣🤣🤣Hivi inamaana teenagers wanaolelewa na wazazi wawili hawanaga ngendembwe?😁
Ila miaka ya nyuma pesa za wanaume zilikua zinalika kirahisi sana
Hawa wa siku hizi wamejanjaruka ukifanikiwa hata kula 10,000 ujue utaliwa tu
Hakuna ilompita na kama yupo baasi ukubwani aliruka steji Sasa hivi anasumbua alikoYani ile foolish age ikupite hivi hivi umenyooka kama tula [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mi ilinipita na kimbunga [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbappe ndio nani?
Std 6 mwananyamala Mimi,tatu,Khadija,Kilio,Amina na wakala wawili Adam makupelepele na mmanga wakapanga tukafundishwe kuvuta bangi ,tukapamga fresh kabisa ,1999 hyoooo....baasii SIKU imefika saa Moja jioni tukutane pale kibarazani kwetu twende bondeni Kule Kwa karibu na kwenye chemchem tukafundishwe mda umefika,tushatoka tunamsubiri Mmanga, ghafla dingi kaniita"We Rey Rey Rey"hapo ndo anarudi job,nkaitika ,familia ilikua imeenda bush tumebaki Mimi na baba tu, akanambia ninyoshee nguo afu uanze kupika ,wakaondoka nilimind mnoo,walivyorudi kesho yake wakanitenga rasmi wakasema Mimi Mtoto wa baba ntawaharibia ishu Yao hvyo wakanikata rasmi ktk crew YaoHongera zao mi Kwakweli nlikua na vitu vingi, kuna kipindi nlikua navutiwa na harufu za sigara sivuti ila nanunua naweka kwenye bag la shule basi begi madaftari vinanuka sigara tu nainjoi hadi basi
Uko sahihi malezi ni changamoto hasta yakiwa upande mmoj broohhKwa stori ya Mleta mada huenda alipata kulelewa kwa sehemu Kubwa na Mama peke yake (Pengine Baba alikuwa mbali kikazi/Walitengana na Mama/Alitangulia mbele ya haki).
Kulea mtoto peke yako/ Single Parent iwe Me/Ke peke yake Lina implications Sana kwenye Malezi ya mtoto( Speaking from experience)
Kuna baadhi ya Tabia mtoto hawezi kuzionyesha/Develop Baba akiwa Mkali nyumbani.
Ingawaje suala la Malezi kwa Ujumla ni kumwomba Mungu asaidie tu.
Biblia inasema "Mlee Mtoto katika Njia impasayo(ya KiMungu) naye hatoiacha hata atakapokuwa Mzee"
Anyhow, huenda Mleta mada amekuja kuchangamsha Kijiwe lakini Lesson learnt.
Mungu atusaidie kwenye Malezi ya Watoto wetu, manake tunawalea kwenye kipindi kigumu Cha Utandawazi, Ubusy wa Utafutaji Mama/Baba wote wako busy kwenye kutafuta hivyo majukumu ya kulea tumewaachia Dada wa Kazi.
Hiyo crew hatari la nne 🤣🤣🤣 dahStd 6 mwananyamala Mimi,tatu,Khadija,Kilio,Amina na wakala wawili Adam makupelepele na mmanga wakapanga tukafundishwe kuvuta bangi ,tukapamga fresh kabisa ,1999 hyoooo....baasii SIKU imefika saa Moja jioni tukutane pale kibarazani kwetu twende bondeni Kule Kwa karibu na kwenye chemchem tukafundishwe mda umefika,tushatoka tunamsubiri Mmanga, ghafla dingi kaniita"We Rey Rey Rey"hapo ndo anarudi job,nkaitika ,familia ilikua imeenda bush tumebaki Mimi na baba tu, akanambia ninyoshee nguo afu uanze kupika ,wakaondoka nilimind mnoo,walivyorudi kesho yake wakanitenga rasmi wakasema Mimi Mtoto wa baba ntawaharibia ishu Yao hvyo wakanikata rasmi ktk crew Yao
Alhamdu lillahi Nashukuru Kuna walioshia kua mateja , tatu hakumaliza la saba ,std seven nkahama mwananyamala nkahamia Kinondoni,Kule Ada estate isingekua hvyo nisingesoma mimi mwenzenu
Mungu ambariki baba angu Kwa ukali ulinisaidia mnoo sijui ningekuaje mwenzenu
Lini unakuja nikupeleke kariakoo kwenye maduka ya raba na tishetiNi Mimi hapa😊
Lini unakuja nikupeleke kariakoo kwenye maduka ya raba na tisheti
Mhuhu...dada mkubwa kweli kweli...hongera kwa kukwepa Kua Teja.Std 6 mwananyamala Mimi,tatu,Khadija,Kilio,Amina na wakala wawili Adam makupelepele na mmanga wakapanga tukafundishwe kuvuta bangi ,tukapamga fresh kabisa ,1999 hyoooo....baasii SIKU imefika saa Moja jioni tukutane pale kibarazani kwetu twende bondeni Kule Kwa karibu na kwenye chemchem tukafundishwe mda umefika,tushatoka tunamsubiri Mmanga, ghafla dingi kaniita"We Rey Rey Rey"hapo ndo anarudi job,nkaitika ,familia ilikua imeenda bush tumebaki Mimi na baba tu, akanambia ninyoshee nguo afu uanze kupika ,wakaondoka nilimind mnoo,walivyorudi kesho yake wakanitenga rasmi wakasema Mimi Mtoto wa baba ntawaharibia ishu Yao hvyo wakanikata rasmi ktk crew Yao
Alhamdu lillahi Nashukuru Kuna walioshia kua mateja , tatu hakumaliza la saba ,std seven nkahama mwananyamala nkahamia Kinondoni,Kule Ada estate isingekua hvyo nisingesoma mimi mwenzenu
Mungu ambariki baba angu Kwa ukali ulinisaidia mnoo sijui ningekuaje mwenzenu
Std 6 hyo balaa watoto wa mwananyamala wasikie TU Kule uswazi nuksiii,yaani wamepinda, asikuambie mtu Kule enzi hizo roba za mbao kama zote baba alihama alismea alhamdu lillahi Kwa kweli ukali wa dingi ulichangia sanaHiyo crew hatari la nne [emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
Hongera kwa kuchomoka kule
[emoji38][emoji38][emoji1][emoji38]ahsante mi mkubwa atii.... nashukuru ukali wa Mzee ulisaidia mnoo ktk malezi nadhani ndo amefanya na Mimi niwe mkali ktk malezi pia nimegundua Mtoto sio wa kukupotea masaa mawili machoni yaaniii ukiwa mzazi make sure Mtoto unajua alipoMhuhu...dada mkubwa kweli kweli...hongera kwa kukwepa Kua Teja.
Sure..though hayo malezi yanaitwa old model[emoji38][emoji38][emoji1][emoji38]ahsante mi mkubwa atii.... nashukuru ukali wa Mzee ulisaidia mnoo ktk malezi nadhani ndo amefanya na Mimi niwe mkali ktk malezi pia nimegundua Mtoto sio wa kukupotea masaa mawili machoni yaaniii ukiwa mzazi make sure Mtoto unajua alipo
Sisi dingi madrasa,shule ,nyumbani hizo harakati akiwa hayupo akirudi wote ndani mpk kesho akienda kazini ndo mnakua huru
Labda itokee Kifo tu lakini otherwise ni muhimu Sana Mtoto alelewe na Wazazi wote wawili.Uko sahihi malezi ni changamoto hasta yakiwa upande mmoj broohh
Tuombe Mungu sana