Aibu muhimu
Labda majirani wa zamani hawakuwa wanaa kama wa enzi hizi.
Ila kwa baba angu nifanye hicho kitu nitachapwa nizimie.
Nakumbuka adv
palikuwa na trip ya shule, na class yetu tukapanga trip kwa ile tarehe.
Home nikaenda kudanganya ni ile trip ya shule, nikapewa hela.
Mimi nikaenda trip ya darasa,, imefika saa 1 sijafika nyumbani sababu ya foleni za Dar.
Mshua kapiga simu shule [emoji23]
Aloo kuangaliwa jina hata kwa trip ya shule sikuwepo.
Mshua akanikaanga
Nikarudi home nikaipata fresh
Na kesho shule nikakipata cha moto βmishule ya jeshi tena inavyokuwaga na fimbo zao spesho zimekaushwa [emoji1787]
Aisee nilikula mboko
Naulizwa nilikokuwa nakosa majibu βhapo sitaki kulichoma darasa maana ni wangetandikwa wotee.
Naulizwa ulikuwa kwa mwanaume? Nasema hapana madam me hata sijawahi hata ukinikagua [emoji23][emoji23]
Sasa kwanini haukuwepo nyumbani na trip hukuwepo!?
Maswali yanasindikizwa na viboko.
Nilikoma sanaa