Mwamba alietunyoosha huyu hapa

Sasa ndio naona, malezi ni kitu kigumu sana, ona binti yako unayempenda kwa dhati kabisa hayupo tour, hayupo shuleni, hayupo nyumbani...🀣🀣yani lazima kama mzazi kichwa kiume!
 
Ila miaka ya nyuma pesa Za wanaume zilikua zinalika kirahisi sana

Hawa wa siku hizi wamejanjaruka ukifanikiwa hata kula 10,000 ujue utaliwa tu
Kweli kabisa zamani unaweza kula hela na mwanaume akakupa ma good times ya kutosha na asikukule kabisa. Siku hizi mpaka umekula kilo yake ya kitimoto na savana moja jua shughuli ipo.

Siku hizi tuna vijana wa hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukila lazima Uliwe.....
 
Kumbe mambo ya cha mtu hakiliwi bure ni ya tokea zamani πŸ˜‚
Nikadhani ni ya hawa watoto wa Pharao zama hizi. Ukila buku yake anataka akuguse nyonyo
Ila wewe...au basi
 
Ila miaka ya nyuma pesa Za wanaume zilikua zinalika kirahisi sana

Hawa wa siku hizi wamejanjaruka ukifanikiwa hata kula 10,000 ujue utaliwa tu
Uliwe kwa buku 10? Mi kuliwa niamue tu...ivo hata bure nampa lakini siyo pesa ndo inifanye nitafunwe
 
Ila mabinti na vya dezo...

Sasa mmeshaambiwa jamaa kaungua ila bado kwenye offer mnaenda imagine kawachanganyia mavitu kwenye vinywaji akaenda kusuuza rungu!!si mngepukutika na nyie
 
Natabiri, mwisho wa story wote mlitoa mbususu
 
😁 mlikua mnapenda vya bure sana
 
Huo ujinga wa trip umewagharimu wengi sana kwenye maisha ya sekondari. Ulienda wapi kwan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…