Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Stori inaweza kuwa ya kweli ila chai nyingi sana, kuongeza damu wanaagalia blood group na sio vinasaba yaani DNA, siku nyingine usirudi kuandika vitu vya kufikirika as if unawahadithia std 7
 
Ukijipiga risasi moja tu kichwani unakufa,hizo nne zaidi alijipigia kuzimu labda.Otherwise hii ni CHAI
 
Blood groups sio lazima zifanane kati ya mzazi na mtoto. Nimeishia hapo sijui huko mbele umepiga fix gani
 
Back
Top Bottom