Mwamba alivyojimaliza mwenyewe baada ya kugundua kuwa watoto aliezaa na mkewe sio wa kwake

Hii Chai. Aliwezaje kujipiga risasi tano kichwani? Ya kwanza, yupo tu. Ya pili yupo tu, ya tatu yupo tu ya nne na ya tano bado yupo tu. Aaaaah, Kadanganye wajinga wenzako
 
japokuwa na wew umetupiga ni lazima damu iendane group na kama haiendani basi mtoaji damu awe na GROP O
 
Baba akasema atamtolea damu mwanae. Baada ya vipimo na huku nako wakakuta hola. Yani hakuna uhusiano wowote kati ya mwamba na mtoto. Hapo jamaa akaanza kuona ukweli wa zile taarifa za damu kwa hospital zote mbili.

Mtu wa blood group A au B au AB endapo akizaa na mtu wa blood group O, most likely atazaa mtoto mwenye blood group A au B au AB.

Sasa kama situation kama hii ndio aliyokutana nayo huyo mwanaume wa kufikirika kwenye stori yako, itakuwa kaachia utamu wanaume wenzake...
 


Uongo wako uko hapa:

"Ikahitajika vipimo mbali mbali vya damu ili kuona kama magroup yao ya damu yanaendana, na pia baba Hana magonjwa nk (wale waliowahi kuchangia damu hospital wananielewa zaidi)"
 
Risasi 5? How? Nonsense!
 
Ni mpaka uchague, sio kwamba moja moja haiwezi kutoa. Hii ni chai pasi na shaka.
Tunajuaje km alichague ipige mfululizo?
Si tushukuru kafa yeye mwenyewe angetoka na huo upuuzi wake kichwani angeua wangapi,
Kwanza unajiuaje kwa ajili ya mwanamke?
Mwanamke wa kumpenda sana ni Mama yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…