Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

Huyu ndio anafanya wanyaturu waonekane kama mboga flani pendwa kutoka Jijini Mbeya

As a matter of fact, kama tunavyofanya bidii kusaka pesa pia pale kati tujitume ivo ivo hata ukiona umechoka jitutumue ivo ivo tu hakuna Namna

NB: ila hapo kwenye "anajifanya mtu wa dini sana au huyu mwamba huwa anazibia mtaro maana magirauni huwa wanasingizia hiko kipengele ili watuchumishe dhambi kinguvu? "
 
"The most dangerous enemy in your life is your closer-friends, be very careful of whom you chose to be your friend. Never trust anyone in your life except yourself."
Huo ni unyama sana kutembea na wife wa swaiba wako aliyekuamini kama ndugu!,hakika anastahili adhabu kali sana.
 
Jemsii huna kifua kabisa. Jando ulipita au umekulia mjini?
 
Huo ni unyama sana kutembea na wife wa swaiba wako aliyekuamini kama ndugu!,hakika anastahili adhabu kali sana.
Wewe unaliona hili kwamba ni Jambo baya, kuna mambo mabaya zaidi ya haya. Yupo jamaa mmoja (jina nalihifadhi) kipindi kile cha nyakati za giza cha maiti za watu kuokotwa kwenye viroba cha utawala wa Mwendazake, jamaa huyo 'aliuzwa' na rafiki yake wa karibu sana ambaye pia alikuwa ndugu yake wa damu kabisa. Jamaa. Huyo rafiki yake ndiye alikuwa kiungo muhimu sana wa kufanikisha mpango wa kutekwa kwa ndugu yake na 'watu wasiojulikana (Abduction Squad)', huyo jamaa amepotezwa mpaka leo hajaonekana tena, familia yake (mke wake na watoto wake) wanapata tabu sana, wanaishi maisha magumu sana kwani jamaa ndio alikuwa nguzo ya familia yake. Mbaya zaidi huyo rafiki yake aliyemuuza wakati mwingine huwa anakuja nyumbani kwa jamaa na kujibaraghuza kumsalimia mke/mjane wa jamaa aliyepotezwa. Na kwa tarifa za chini kabisa nilizozipata, maiti zile zilizoonekana ufukweni kule Bahari Beach Mbweni mojawapo ni ya huyo jamaa aliyeuzwa. Dunia hii ina hatari kubwa sana, ogopa sana hao watu wanaojifanya kuwa marafiki zako, ni watu hatari sana kupita kiasi. Kikulacho ki-nguoni mwako.
 
Aiseeeeee hiii ni hatari sana mkuu, kweli kikulacho ki nguoni mwako . Inasikitisha sana
 
Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali , kutoa elimu ya masuala ya fedha.

Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana matusi mazito eti wewe unajifanya mtu wa Mungu sana. Rafiki yako mtozee hana siri.

Ndugu yangu piga marufuku huyo rafiki yako kuwa na ukaribu kiasi hicho na mkeo. Shauri yako ohhhooo, najua upo humu.

Ushauri kutoka kwa raia mwema.
Usiingilie maisha yetu, wenyewe tunajuana.

Unazijua koo za simba wewe?
 
Tombeni Wanawake zenu kitandan kama malayaaa .

Mnyaturu ? Hawa ni kawaida yao kugawa Nyuchi .

Sema nn, Mtonye jamaa !!. Unaonekana mbaya ila Kwa faida yake , atalea watoto wasokua wake.
Geremi Njitap mchezaji wa Chelsea,ana mwili wa mazoezi,ana pumzi anayo,hela anayo na moto anapeleka vizuri, ila still mkewe kakigawa nje.

Hayanga formula haya. Wengine wanakwambia bora uoe mke mbaya utapunguza risk ya kugongewa ila mke wa Geremi pisi ya kawaida tu watu wameruka nae.
Screenshot_20240324_124734_Instagram.jpg
Screenshot_20240324_124713_Instagram.jpg

Kama umeoa mwanamke hasiye jitambua na sio Mcha Mungu kugongewa hakukwepeki na ukizingatia siku hizi bikra si kipaumbele.........
 
Geremi Njitap mchezaji wa Chelsea,ana mwili wa mazoezi,ana pumzi anayo,hela anayo na moto anapeleka vizuri, ila still mkewe kakigawa nje.

Hayanga formula haya. Wengine wanakwambia bora uoe mke mbaya utapunguza risk ya kugongewa ila mke wa Geremi pisi ya kawaida tu watu wameruka nae.
View attachment 2943432View attachment 2943433

Ni kweli
 
Alafu kweli pisi ya kawaida kabisa lakini watu wanapita nayo. Muhimu mzeeya ni kuoa pisi kali maana ata pisi za kawaida nazo zinagawa utamu 🤣🤣🤣🤣
Pisi kali wa jf mko wapi jamani

Back
Top Bottom