Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Majina yake kamili anaitwa Mikka Aleksanteri Kari jina maarufu Mika Mwamba.
Kiasili jamaa ni Mfinland.
Miikka aliwahi kufanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchini Tanzania. Wasanii hao ni: Dully Sykes, Inspector Haroun, Lady Jay Dee, Mad Ice, Chegge, Mandojo na Domo Kaya, Solid Ground Family, Complex, Zahrani (maarufu kama Big Punisher wa Bongo), Only Face, Dknob na wengine wengi wa kutoka Tanzania.
Mika Mwamba alikuwa na vionjo vyake fulani hivi balaa.
Miongoni mwa nyimbo alizowahi kuzitayarisha ni hizi.

- Barua na Kamanda ya Daz Nunda Julieta - Dully Sykes (2000)
- Athumani Mlevi - Solid Ground Family (2001)
- baby Gal - Mad Ice (2002)
- Tupa Mawe - Zahrani na Complex (2001)
- Twenzetu - Chegge, Ferouz na Mh Temba (2005)
- Elimu Mitaani.com - Dknob (2003)
- Kitu Gani - Dknob (2007)
- Nakupenda mpenzi usiyependa chapaa(Tentementee)-Dudu baya.