beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Ni yeye.Hivi Ile Ngoma ya Balozi bado nipo sijatoweka kwenye chati NI Mika mwamba au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yeye.Hivi Ile Ngoma ya Balozi bado nipo sijatoweka kwenye chati NI Mika mwamba au?
Bwana misosiMabinti wa kitanga, nimemsahau msanii aliyeimba lakini hili song mpaka leo bado lina sound kwenye akili yangu
Mi ndio najua hapa kwenye uziHuyu nimekuja kujua kama ni mzungu baada ya kustaafu kazi ya uaandaji wa muziki.
Mzee alikuwa hapendi kiki wala camera
kipindi hicho we zombi yupo kwao kijijini
Hapana zile mmiliki ni mzimbabweHuyu ndiyo mzee wa zile meat shops za Mika Meats?
Sure mkuu wakina Bonluv, P Funk, Master J, Mika Mwamba, Castro mpondela, Roy Bukuku na bila kumsahau Dunga.Maproducer wa zamani walikuwa na vitu tunavikosa siku hizi.
Mika Mwamba huyu.Chambua kama karanga by Saida
Wanok nok by mandojo
Huyu ni P funk Majani. Fid Q aliua sana kwenye hii ngoma.Umbo namba 8 Daz baba
Ebwana hii ngoma ya Ya O ten voice mail huwa naikubali sana nimeitafuta you tube bila mafanikio naweza pata hata audio yake tu.Tamala - Hard Mad
Baby Gal - Mad Ice
Kwenye Chati - Balozi
Mpenzi - Dudubaya
Shega Tuu - Dark Master
Voice Mail - Oten
Baba Jeni - SGF
Maji ya Shingo Barua na Kamanda - Daz Nundaz
Kifo Cha Mpenzi - Taqwa
Julieta, Salome,Historia ya kweli - Dullysykes
Taswira Wanoknok Niaje Mziki Chacha - Dojo na Kaya
Chambua kama Karanga - Saida
Tunda - African Staz Muumin
Hip Hop Mdundiko - Mambo Jambo
Elimu Mitaani Usiniache Kitu Gan - D Knob
Twrnzetu Teacher - Chege
NIZIKWE HAI ELIMU YA JUU - DOJO NA KAYA
Eno Mic.. Zigg D...
Fagio la Chuma - Fagio la Chuma
Kosa la Marehem - Uswahilini Matola
Ndivyo Ilivyo - BJB
Mambo Vipi - Mox
Msbinyi wa Kitanga - Misos
Kikongwe - Pico
Mtoto wa Geti Kali - Inspecta
Hamisi - Gotilla Killers
Hoe Hae Kufa na Kupona - Swahili By Nature
Bongo Shwari - Anko T
.........
....
........
........
......
ALIPOTAKA KUTOKA FM STUDIO NA KUANZISHA STUDIO YAKE YA KOKWA REC.. AKAFANYIWA ZENGWE HADI KUKAA JELA..
Ile beat ndo beat Bora zaidi tangu tupate UhuruNi yeye.
Nyimbo nyingi tu katajwa...Huyu ndiye anayetajwa na Lady Jadee katika moja ya wimbo kwenye album yake ya kwanza? (Kama sikosei kuna wimbo anataja Mikka Mwamba)
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app