Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Alikua vizuri sana, japo aliwazinguaga na kuwakataa nako 2 nako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inapatikanaEbwana hii ngoma ya Ya O ten voice mail huwa naikubali sana nimeitafuta you tube bila mafanikio naweza pata hata audio yake tu.
..Ebwana hii ngoma ya Ya O ten voice mail huwa naikubali sana nimeitafuta you tube bila mafanikio naweza pata hata audio yake tu.
Ameimba bwana misosi kama sikosei.Mabinti wa kitanga, nimemsahau msanii aliyeimba lakini hili song mpaka leo bado lina sound kwenye akili yangu
AiseeTamala - Hard Mad
Baby Gal - Mad Ice
Kwenye Chati - Balozi
Mpenzi - Dudubaya
Shega Tuu - Dark Master
Voice Mail - Oten
Baba Jeni - SGF
Maji ya Shingo Barua na Kamanda - Daz Nundaz
Kifo Cha Mpenzi - Taqwa
Julieta, Salome,Historia ya kweli - Dullysykes
Taswira Wanoknok Niaje Mziki Chacha - Dojo na Kaya
Chambua kama Karanga - Saida
Tunda - African Staz Muumin
Hip Hop Mdundiko - Mambo Jambo
Elimu Mitaani Usiniache Kitu Gan - D Knob
Twrnzetu Teacher - Chege
NIZIKWE HAI ELIMU YA JUU - DOJO NA KAYA
Eno Mic.. Zigg D...
Fagio la Chuma - Fagio la Chuma
Kosa la Marehem - Uswahilini Matola
Ndivyo Ilivyo - BJB
Mambo Vipi - Mox
Msbinyi wa Kitanga - Misos
Kikongwe - Pico
Mtoto wa Geti Kali - Inspecta
Hamisi - Gotilla Killers
Hoe Hae Kufa na Kupona - Swahili By Nature
Bongo Shwari - Anko T
.........
....
........
........
......
ALIPOTAKA KUTOKA FM STUDIO NA KUANZISHA STUDIO YAKE YA KOKWA REC.. AKAFANYIWA ZENGWE HADI KUKAA JELA..
...afu anamalizia na "Dar Skendo"Ngoma ya dudu Baya nakupenda mpenzi. Kuna sehemu anataja Mika mwambaaaa ha ha ha ha.
Kisa kilikuwa ni nini?Alikua vizuri sana, japo aliwazinguaga na kuwakataa nako 2 nako
Alikua hawaelewi wanachoimba then pia mambo ya kulipia studio.Kisa kilikuwa ni nini?
Ile ngoma balozi alivyojitunisha na ile beat nafananisha na dr dre alivyofanya na keep ya heads ringing ni 🔥🔥🔥🔥Ile beat ndo beat Bora zaidi tangu tupate Uhuru
Ume umenikumbusha eno mic ya ziggy dee! Nyakati hazidumu kwa kweli.-Daz Nundaz - Kamanda, Barua
-Inspekta Haroun - Mtoto wa geti kali
-Mandojo na Domokaya - Wanok nok, Niaje
-K Sal Feat Ferooz - Mkiwa
-Prezzo Feat Naziz - Let's go down
-Ziggy Dee - Eno mic
-Mad Ice Feat Jaydee - Nishike mkono
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi nilijua mchaga kumbe mzungu!
Hapendi kiki wapi Mkuu?Bongo fleva ilikuwa side haso ya mchizi,yeye nadhani alipewa studio na Mzee FM Kwa ajili ya muziki wa bendi,ila akaona ajiongeze apige laki laki za wabongo fleva.Nahisi hata kuja kusanukiwa na bosi wake ilikuwa badae sana.Huyu nimekuja kujua kama ni mzungu baada ya kustaafu kazi ya uaandaji wa muziki.
Mzee alikuwa hapendi kiki wala camera