Mwamba huyu hapa, ukimuona tu utajua leo kazi tunayo

Mwamba huyu hapa, ukimuona tu utajua leo kazi tunayo

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1674633058769.png

1674633086639.png

1674633106291.png

1674633143444.png

1674633159572.png

1674633178061.png

1674633196857.png

1674633214689.png
 
Uzuri tafsiri ya mafanikio inatofautiana baina ya mtu na mtu.

Hapo kupostiwa na wanawake tofauti tofauti pengine ni mafanikio makubwa kwa huyo aliepostiwa. Ila ukichunguza kilichopstiwa hapo ni visenti vyake anavyotoa kwa hao wapostiji wala si mapenzi.

Ukiona mwanamke anapuuzia uasherati wako basi elewa kuna mawili, keshakudharau na kuna maslahi anapata toka kwako hivyo kufungia macho ujinga wote. Na lazima kuna mwingine anaempa raha na kumthamini, huyo hutomuana akipostiwa ovyo sababu ni penzi la dhati na hana sababu ya ku prove chochote kwa yeyote.

Si kila kupostiwa ni kwa kupendwa kupostiwa kwingine ni kulinda maslahi.
 
Uzuri tafsiri ya mafanikio inatofautiana baina ya mtu na mtu.

Hapo kupostiwa na wanawake tofauti tofauti pengine ni mafanikio makubwa kwa huyo aliepostiwa. Ila ukichunguza kilichopstiwa hapo ni visenti vyake anavyotoa kwa hao wapostiji wala si mapenzi.
Thread ifungwe
 
Watu siku hizi wanatafuta umaarufu kwa gharama yoyote.. hakuna mwanamke anayeweza ujinga huo tena wote hao wapo group moja😜😜😅

Hapo ni jamaa katumia fake account zake kwa lengo kuu moja tu "anataka mbumbusu"na inawezekana kuna inayomtolea nje ko kaamua kuja mbinu ya kivita tu....
 
Watu siku hizi wanatafuta umaarufu kwa gharama yoyote.. hakuna mwanamke anayeweza ujinga huo tena wote hao wapo group moja[emoji12][emoji12][emoji28]

Hapo ni jamaa katumia fake account zake kwa lengo kuu moja tu "anataka mbumbusu"na inawezekana kuna inayomtolea nje ko kaamua kuja mbinu ya kivita tu....

[emoji23][emoji23][emoji23]AMESHA SANUKIWA MTU [emoji1430][emoji1430]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]AMESHA SANUKIWA MTU [emoji1430][emoji1430]
Wanawake wana wivu kupitiliza, yaani mwanamke aone kijeba chake kimepostiwa afu nae aposti? Hahaha haitakuja kutokea kwa viumbe hawa.... Hapo ni mwamba kaamua kumtekenya/kuwatekenya madem kweny hicho kigroup kwa lengo la kuzipiga mbumbusi zao. Fb wanawake wanapakuliwa balaaa na wako free balaa.
 
Back
Top Bottom