Mwamba huyu hapa, ukimuona tu utajua leo kazi tunayo

Mwamba huyu hapa, ukimuona tu utajua leo kazi tunayo

Watu siku hizi wanatafuta umaarufu kwa gharama yoyote.. hakuna mwanamke anayeweza ujinga huo tena wote hao wapo group moja😜😜😅

Hapo ni jamaa katumia fake account zake kwa lengo kuu moja tu "anataka mbumbusu"na inawezekana kuna inayomtolea nje ko kaamua kuja mbinu ya kivita tu....
Tumebaki na watu wachache sana kama wewe wakuona beyond.💪
 
Watu siku hizi wanatafuta umaarufu kwa gharama yoyote.. hakuna mwanamke anayeweza ujinga huo tena wote hao wapo group moja😜😜😅

Hapo ni jamaa katumia fake account zake kwa lengo kuu moja tu "anataka mbumbusu"na inawezekana kuna inayomtolea nje ko kaamua kuja mbinu ya kivita tu....
Ila pia hatujui kama ni mtu anajaribu kumchafua.ilishawahi kumtokea rafiki yangu kwenye ukurasa wake wa FB imepositwa picha tu ya X halafu ikawa tagged KWA marafiki zake na ndugu wa karibu kumbe account alishaiacha kuitumia kama mwaka sasa. Kuja kuchunguza ni rafiki yake. Hakuna kitu hapo hiyo post ni michezo hiyo
 
Jamani hizo post zipo kwenye group linaitwa Vyakula vya kitanzania wamempist just kufurahisha group tu
 
Back
Top Bottom