Uzuri tafsiri ya mafanikio inatofautiana baina ya mtu na mtu.
Hapo kupostiwa na wanawake tofauti tofauti pengine ni mafanikio makubwa kwa huyo aliepostiwa. Ila ukichunguza kilichopstiwa hapo ni visenti vyake anavyotoa kwa hao wapostiji wala si mapenzi.
Ukiona mwanamke anapuuzia uasherati wako basi elewa kuna mawili, keshakudharau na kuna maslahi anapata toka kwako hivyo kufungia macho ujinga wote. Na lazima kuna mwingine anaempa raha na kumthamini, huyo hutomuana akipostiwa ovyo sababu ni penzi la dhati na hana sababu ya ku prove chochote kwa yeyote.
Si kila kupostiwa ni kwa kupendwa kupostiwa kwingine ni kulinda maslahi.