Mwamba Huyu Hapa...!

Hana umwamba wowote, anatafuta pa kutokea baada ya kuwa bench kitambo.

Makonda na upumbavu wake wote alipopinga ushoga hawa wote hawakuthubutu kufungua midomo, waliufyata kimya.

Kaona topic ya ushoga ina trend sasa kaona na yeye atokee hapo hapo akiwa na imani ili kunyamazishwa ataitwa apewe kitengo maana serikali yetu inayotegemea ruzuku ya misaada ya wahamasisha ushoga wakuu haiwezi kujihusisha na kupinga ushoga.

Si kila mpinga ushoga anauchukia wengine ni kutafuta pakutokea tu. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamii hata akiwa baba yako mzazi.

Akipewa wadhifa atabadilika kama sio yeye na hata sketi atavaa kuonyesha mshikamano na makuchu.
 

Ngoja niwahesabu hapa. Tutawajua tu...!
 
Umenena vyema.zamani nilikiwa nasema mwanasiasa Cha kuamini Ni jina lake tu kumbe hata jina lake usiamini,tumeona alichotufanya Bashite na Mwigulu
 
Nina wasi wasi anayo ajenda mbadala na sio kuupinga, jaribuni kumsikiliza vizuri na kuisoma lugha ya mwili mtagundua hayupo serious kabisa.

Ila muda utaongea.
 
Kwahiyo kama Swala la ushoga ni global unataka asifanye nini
Na wewe umefanya nini🙄🙄
Kwa hyo ushoga ndo dhambi kubwa , Kasome amri kumi za Mungu , kama unazishika zote ndo uje kubwabwaja kuhusu ushoga , acheni uzinzi , unafiki, uongo na ufisadi , kutwa mnatukana mpak marehemu mtandaoni alaf kwenye ushoga ndo utakatifu , kisa mmeguswa penyewe
 

Hatuongelei ukubwa wa udogo wa dhambi

Ila kwanini mwakyembe anaonekana hakutakiwa kuuongelea!?

Kila mtu yupo huru kama hutaki kuongelea ushoga usimkataze wala kumkasirikia anayepinga ushoga
 
Kipindi makonda anapambana nao hakupata ushirikiano leo hii huyo anaibuka kutafuta kiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…