Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana umwamba wowote, anatafuta pa kutokea baada ya kuwa bench kitambo.
Makonda na upumbavu wake wote alipopinga ushoga hawa wote hawakuthubutu kufungua midomo, waliufyata kimya.
Kaona topic ya ushoga ina trend sasa kaona na yeye atokee hapo hapo akiwa na imani ili kunyamazishwa ataitwa apewe kitengo maana serikali yetu inayotegemea ruzuku ya misaada ya wahamasisha ushoga wakuu haiwezi kujihusisha na kupinga ushoga.
Si kila mpinga ushoga anauchukia wengine ni kutafuta pakutokea tu. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamii hata akiwa baba yako mzazi.
Akipewa wadhifa atabadilika kama sio yeye na hata sketi atavaa kuonyesha mshikamano na makuchu.
2025 sio mbali anajiamsha taratibu kuwakumbusha kuwa yupo.
Umenena vyema.zamani nilikiwa nasema mwanasiasa Cha kuamini Ni jina lake tu kumbe hata jina lake usiamini,tumeona alichotufanya Bashite na MwiguluHana umwamba wowote, anatafuta pa kutokea baada ya kuwa bench kitambo.
Makonda na upumbavu wake wote alipopinga ushoga hawa wote hawakuthubutu kufungua midomo, waliufyata kimya.
Kaona topic ya ushoga ina trend sasa kaona na yeye atokee hapo hapo akiwa na imani ili kunyamazishwa ataitwa apewe kitengo maana serikali yetu inayotegemea ruzuku ya misaada ya wahamasisha ushoga wakuu haiwezi kujihusisha na kupinga ushoga.
Si kila mpinga ushoga anauchukia wengine ni kutafuta pakutokea tu. Mwanasiasa sio mtu wa kumuamii hata akiwa baba yako mzazi.
Akipewa wadhifa atabadilika kama sio yeye na hata sketi atavaa kuonyesha mshikamano na makuchu.
Umenena vyema.zamani nilikiwa nasema mwanasiasa Cha kuamini Ni jina lake tu kumbe hata jina lake usiamini,tumeona alichotufanya Bashite na Mwigulu
😀Ooooh owkay sawa...!
Nani huyo Kiembe boy au nani?Swala la ushoga ni global, anatwanga maji kwenye kinu, posibly anaelekea kwenye terrible cost
Swala la ushoga ni global, anatwanga maji kwenye kinu, posibly anaelekea kwenye terrible cost
Kwa hyo ushoga ndo dhambi kubwa , Kasome amri kumi za Mungu , kama unazishika zote ndo uje kubwabwaja kuhusu ushoga , acheni uzinzi , unafiki, uongo na ufisadi , kutwa mnatukana mpak marehemu mtandaoni alaf kwenye ushoga ndo utakatifu , kisa mmeguswa penyeweKwahiyo kama Swala la ushoga ni global unataka asifanye nini
Na wewe umefanya nini🙄🙄
Kwa hyo ushoga ndo dhambi kubwa , Kasome amri kumi za Mungu , kama unazishika zote ndo uje kubwabwaja kuhusu ushoga , acheni uzinzi , unafiki, uongo na ufisadi , kutwa mnatukana mpak marehemu mtandaoni alaf kwenye ushoga ndo utakatifu , kisa mmeguswa penyewe
Muda utaongea....
Nani huyo Kiembe boy au nani?
Kwahiyo kama Swala la ushoga ni global unataka asifanye nini
Na wewe umefanya nini🙄🙄