Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ndio alikua anamiliki soko la kariakoosisi tuliokuja dar 2020 tunauliza ndo nani huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio alikua anamiliki soko la kariakoosisi tuliokuja dar 2020 tunauliza ndo nani huyo
Lazima uwe old skul uweze kumjua, alikuwa mchezaji hatari miaka ya 90 mwanzoni kabisaUmeandika kama vile sisi wote humu tunashinda kijiweni kwenu mnapobishania kuhusu Mo na Bakhressa.
Sasa nani huyu?
Tafuta kipisi cha mpingo ukalie, inaelekea mbwasha inawasha.Acha ushamba kwani kila kitu lazima ukijue humu vitu vingine kama hujui unakausha tu wanaojua wata comment!
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ina maana kuomba ndio aliamua kunyosha Mikono kabisa kuachaKuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.
Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
Sio Sikinde Mbunga huyu!Mbunga alishafariki dunia miaka mingi iliyopitaKuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.
Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
Uthibitisho wa hili,ni wanayanga wapo Ruangwa. Kutoka hapo hadi Kijiji Cha Lipande ni umbali wa kilomita Moja. Wao wakiamua wanaweza kwenda kuonana nae mchezaji wao wa zamani. Huyu mwamba yupo.Sio Sikinde Mbunga huyu!Mbunga alishafariki dunia miaka mingi iliyopita
Uthibitisho wa hili,ni wanayanga wapo Ruangwa. Kutoka hapo hadi Kijiji Cha Lipande ni umbali wa kilomita Moja. Wao wakiamua wanaweza kwenda kuonana nae mchezaji wao wa zamani. Huyu mwamba yupo.
Huyu mwamba enzi zake aliupiga sana na alikuwa star. Kama ingekuwa kwa sasa huyu jamaa angekuwa na maisha mazuri sana kutokana na kipaji chake.Mh labda kama amefufuka