Mwamba huyu hapa

Mwamba huyu hapa

Umeandika kama vile sisi wote humu tunashinda kijiweni kwenu mnapobishania kuhusu Mo na Bakhressa.

Sasa nani huyu?
Lazima uwe old skul uweze kumjua, alikuwa mchezaji hatari miaka ya 90 mwanzoni kabisa
 
Daah TFF ingekua inawakumbuka basi hawa Malegend wa Kitambo daah huyu jamaa kwa mpira aliopiga nae kuingia Mkapa mpaka Tiketi au awe na nauli ya kwenda Mjini...
 
Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.

Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
Ina maana kuomba ndio aliamua kunyosha Mikono kabisa kuacha
 
Kuna mdau alipost kuhusu selestian sikinde mbunga kuwa alishafariki long time ago. Ukweli kuwa,huyu jamaa Bado anaishi na anapatikana mkoani Lindi wilaya ya Ruangwa Kijiji Cha Lipande.

Hiyo picha alipigwa 06march 2022,akiwa nyumbani kwake Kijiji tajwa hapo juu.
Sio Sikinde Mbunga huyu!Mbunga alishafariki dunia miaka mingi iliyopita
 
Sio Sikinde Mbunga huyu!Mbunga alishafariki dunia miaka mingi iliyopita
Uthibitisho wa hili,ni wanayanga wapo Ruangwa. Kutoka hapo hadi Kijiji Cha Lipande ni umbali wa kilomita Moja. Wao wakiamua wanaweza kwenda kuonana nae mchezaji wao wa zamani. Huyu mwamba yupo.
 
Mh labda kama amefufuka
Huyu mwamba enzi zake aliupiga sana na alikuwa star. Kama ingekuwa kwa sasa huyu jamaa angekuwa na maisha mazuri sana kutokana na kipaji chake.

Kilichotokea baada ya kuona kapoteza nguvu nyingi kwa baadhi ya vilabu ikiwemo Yanga, na kipaji chake kuanzia kutoweka,alitoweka kwenye jamii ilyomfahamu na kwenda kujichimbia kijijini kwao hadi sasa. Kiasi ambacho kwa muda ambao hakuonekana kwa wanafamilia ya mpira, tetesi zilianza kua jamaa kafariki. Ila jamaa yupo sema amekuwa mtu wa mitungi muda wote.
 
Back
Top Bottom