Mwamba kama umeshawahi kupotelewa na boxer au soksi ujue umekwisha

Wasiwasi wako hakuna wa kukuroga na hizo boxer zako. Mimi nishawahi kuamka sina pichu na wala sikujali πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa heshima ya mwamba stow away naleta mwendelezo inaelekea watu wana uraibu wa Itaendelea

Kesho yake tukaenda polisi kutoa taarifa kama raia wema wanavyofanyaga,,,, halafu tukajaribu kumvutia waya simu ikawa inaita then anapokea halafu haongei,kafanya hivyo kama mara tatu lkn unasikia kama mtu ambaye yupo kwenye gari anasafiri, tukampotezea.

Baada ya Wiki akatutafuta na kuomba radhi na kuleta viswahili ambavyo hata haviingii akilini,,, nikamuuliza mbona ulikuwa unapokea simu halafu huongei akasema alikuwa anaogopa kwamba watu ndani ya basi watajua kuwa ametoroka kutokana na maongezi yake.

Anyways staff happens na maisha lazima yaendelee.
 
Aah sasa mpngaji mwenzangu ataenda kuifanyia Nini wkt Sina mahusiano na yyte?ila pia naskia ukishaifua hawez kufanya chochote
Sasa utaifua vipi wakati hauko nayo, kwa mfano huyo binti kaja kuiacha dar now yupo Dom

So kama yako itachukuliwa yaweza achwa njia panda, wanachofanya ni kuchukua athari yako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…