Kwa heshima ya mwamba
stow away naleta mwendelezo inaelekea watu wana uraibu wa Itaendelea
Kesho yake tukaenda polisi kutoa taarifa kama raia wema wanavyofanyaga,,,, halafu tukajaribu kumvutia waya simu ikawa inaita then anapokea halafu haongei,kafanya hivyo kama mara tatu lkn unasikia kama mtu ambaye yupo kwenye gari anasafiri, tukampotezea.
Baada ya Wiki akatutafuta na kuomba radhi na kuleta viswahili ambavyo hata haviingii akilini,,, nikamuuliza mbona ulikuwa unapokea simu halafu huongei akasema alikuwa anaogopa kwamba watu ndani ya basi watajua kuwa ametoroka kutokana na maongezi yake.
Anyways staff happens na maisha lazima yaendelee.