Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hana uchuma wowote, ni tapeli tu. Kinachoendelea huko bungeni ni igizo version ya katikati.Ila Mpina ni chuma aisee [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana uchuma wowote, ni tapeli tu. Kinachoendelea huko bungeni ni igizo version ya katikati.Ila Mpina ni chuma aisee [emoji23]
Binadamu hamna shukurani hata kidogo!! Ukifanya hivi wanakufanya mjinga. Ndo maana Mwenyekiti wenu kaamua kutafuna tu Ruzuku za chama
Bado hujaacha utoto?. Unaboa Sana.Mpina ni sawa na Chama kizima cha Chadema!
Mmezoea mpaka wahoji chadema ndo muawaamini wanatetea wananchi ila wakihoji wa chama tawala mnaona maigizo!! Ninyi watu ni wajinga sana akili zenu zote ni ushabiki wa vyama tu, anachosema mbowe ndo hivo hivo mnatii!Hana uchuma wowote, ni tapeli tu. Kinachoendelea huko bungeni ni igizo version ya katikati.
CCM waparuana wenyewe.
Mpina ni mpumbavu kupindukia.
Mpina anafanya kazi ambayo siyo yake, tunajua tutampata wapi. Yaani kuku umfuge mwenyewe jmn afu akusumbe, ni suala la muda tu ni kumsubiri bandani saa 12 na nusu jioni. 😀Mpina ana hoja, asikilizwe!
Mmezoea mpaka wahoji chadema ndo muawaamini wanatetea wananchi ila wakihoji wa chama tawala mnaona maigizo!! Ninyi watu ni wajinga sana akili zenu zote ni ushabiki wa vyama tu, anachosema mbowe ndo hivo hivo mnatii!
Mwenye akili pale chadema ni mbowe tu ndomana kila kitu anaamua yeye, yaani nyinyi mmeshindwa kabisa kufikiri na mmemuachia mbowe afikiri alafu mnajiona mna akili!!
Mimi sio CCM ila kwa akili zenu hizo chadema imeshakufa tayari bado kuzikwa tu, na chama cha kweli cha upinzani kitakacho chukua nchi bado hakija zaliwa.
Yaani nyinyi mpaka kuhoji bungeni mnataka muhoji nyinyi tu wakitokea watu wakihoji wengine mnaona ni maigizo! Ajabu kweli kweli..
Sisi tunao kaa mwanza,tunaofadika na ziwa tunamwomba rena rais ampe mpina wizara ya maliasili na uvuvi,kwa sasa uvuvi wa kutumia makokolo umeanza tena,mpk sumu wanavulia,kwa hiyo wewe unae mtuhumu mpina tunakuona kama mpumbavu furani hivi.Wote sawa tu hata huyo mpina hamanishi ni vile kapokonywa chakula/ uwaziri! Huyu si ndo alikuwq anachomq nyavu za wavuvi? Huyu si aliwapora wananchi hearing 300 za ardh huko moro huyu?
Wewe na nawe ushabiki utakuua, uyo Mpina ni wa kawaida sana sema anaonekana yupo smart kwenye bunge la sasa la mfukoni wa mwenda zake,Mpina ni sawa na Chama kizima cha Chadema!
Haitoshi tu kusema "...alichoma nyavu za wavuvi....", eleza kwa nini hizo nyavu zilichomwa. Zilichomwa bila ya sababu yoyote, kwa uonevu tu? Hakuna sheria inayozuia uonevu wa aina hiyo?Wote sawa tu hata huyo mpina hamanishi ni vile kapokonywa chakula/ uwaziri! Huyu si ndo alikuwq anachomq nyavu za wavuvi? Huyu si aliwapora wananchi hearing 300 za ardh huko moro huyu?
Kwa sasa amejitambulisha, bila kujali litakalokuwa.Ila Mpina ni chuma aisee [emoji23]
Mbona leo upo sawa! Kuna nyakati huwa unapungukiwa akili?Hata KAMA nini mimi lazima nigechoma tu Hayo makokoro waafrika tunapenda sana kujiangalia sisi kwa wakati huu .mtu anavua hadi viluwiluwi sojui kesho atavua nini
Inawezekana hii ikawa kweli, haya uliyosema hapa, na nikwambie siayaafiki kabisa mambo kama hayo.ni shoga pekee anayeweza kifikir mpina ni sawa na chama kizima cha chadema na hao mashoga wanaofikir hivyo napenda kuwapa taarifa japo kwa ufupi,
1. Ni kwamba mpina ambaye ni mbunge wa mchongo wa kisesa na toka atangazwe kibabe na mkurugenz aliyekuwepo hapa Meatu aitwaye Manoza hajawahi kurudi kwenye jimbo lake lake la mchongo hata kata zilizo njian za Sangaitinje na Isengwa kushukuru hao mnaofikir wapiga kura wake.
2. Kijana shupavu wa chadema aitwae NICHOLOUS KISHABI aliyeporwa ushindi kwa nguvu alimchachafya huyo mpina wenu mpaka akasanda solution waliyobaki nayo ni kupora uchaguz matokeo yake ofis za serikali zikachomwa moto na wapigania haki wanaojielewa.
3. Luhaga mpina alimfungulia kesi MWAMBA NICHOLOUS KISHABI akifikir atafanikiwa kuutuliza moto akahonga mahakama ya Hakimu mkazi Bariadi mwamba kishabi akahukumiwa miaka mitatu akiwa amepiga hesabu ya uchaguzi 2025 matokeo yake MAHAKAMA KUU KANDA YA SHINYANGA ikafuta hukumu ya kihuni na kishabi aliporudi wananchi wakachanga ng'ombe zaidi ya kumi watu wakala na kuchoma nyama za kutosha nyumban kwake kishabi pale Mwandoya.
Sasa mapoyoyo na mashoga ya ccm msiojua kanda ya ziwa vizuri mtaenda kuelewa uchaguzi wa 2025.
Wewe ni Mamayo kabisaa!nani wa kusikiliza ule utopolo wake. Mpina ni poyoyo tu km wewe.