Mwamba Mpina abishana na Bunge zima, wamzomea. Asimamisha Bunge kwa dakika 20

Hii Nchi inapita kwenye wakati Mgumu sana. Ndo maana wanalia sana majimbo yagawanywe. Tunasubiri uchaguzi
 
Sijui kwanini wabunge wa ccm;
huwa hawataki kusikia ukweli!
Huwa sio watu wa kuhoji au kujenga hoja (ukimuondoa Mpina)
Ni watu wasio na uzalendo kwa nchi yao na kutetea wanyonge!
Ndiyo maana wanaongoza kuroga majimboni mwao, wako very pathetic.
 
Huyu jamaa ni mzur sana kwa hoja na kichwan ni mzima sana. Nimepata bahati ya kufanya nae kazi wiki mbili. Jamaa kasoro yake ni chuki. Aisee huyu jamaa ana chuki na wachagga cjapata kuona. Kwake yeye hakuna mchagga mzur wote ni mashetan. Na bahat mbaya kwake mi nilikuwa mchagga hakujua muda wote huo. Ila tulifanya kaz vizur ila muda wote ni kuwasemea mbovu wachagga cjui walimfanya nini
 
Sijui kwanini wabunge wa ccm;
huwa hawataki kusikia ukweli!
Huwa sio watu wa kuhoji au kujenga hoja (ukimuondoa Mpina)
Ni watu wasio na uzalendo kwa nchi yao na kutetea wanyonge!
Mijitu ya matumbo yao 2
 
Huyu jamaa ni mzur sana kwa hoja na kichwan ni mzima sana. Nimepata bahati ya kufanya nae kazi wiki mbili. Jamaa kasoro yake ni chuki. Aisee huyu jamaa ana chuki na wachagga cjapata kuona. Kwake yeye hakuna mchagga mzur wote ni mashetan. Na bahat mbaya kwake mi nilikuwa mchagga hakujua muda wote huo. Ila tulifanya kaz vizur ila muda wote ni kuwasemea mbovu wachagga cjui walimfanya nini
Hata Magu aliwachukia sana
 
Back
Top Bottom