Wakuuu huu mtandao toka jana unasumbua au ni kwangu tu...?? Au huku kukamatwa kwa Pavel mmiliki wake hiyo jana ndo sababu ya kushut down mtandao huu...?? Wajuzi wa mambo mtujuze:::: Updates CEO wa mtandao wa Telegram, Pavel Durov (39) amekamatwa katika kiwanja cha ndege nchini Ufaransa na...