Mwamba wa Hiphop halisi, Saigon 'Treach' wa iliyokuwa D.P.T ana masahibu gani hivi?

Flashback moja ya hatari... Jamaa alikua ana madini sana
 
ni moja kati ya wakali underrated sana. huyu mtu alikuwa anajua kucheza na maneno!Kalinye-kalinye,sikuwa naiokosa kabisa enzi hizo. Eeeh bana daaaaaaaah
 
Uzi wa wahenga


Mtupie picha yoyote tumjue
 
Dah nyuzi za hivi zikianzaga huchelewi kusikia RIP
 
Lengo la kuwa monk lilifanikiwa?
 
Nilipata miito miwili kwa pamoja, ama kwenda milima ya Himalaya kuwa Buddhist monk, ama kwenda Wall Street kwenye mifumo ya mabenki ya dunia.

Nikaamua kwenda Wall St.
Sijaelewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…