JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Binafsi naona kisaikolojia hayuko sawa. Bado anajitafuta wapi hasa anaweza kutulia. Mwenyezi amsaidia kwa kweli.Hapana ,jamaa kwa sasa kaachana na mambo ya dini tena...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi naona kisaikolojia hayuko sawa. Bado anajitafuta wapi hasa anaweza kutulia. Mwenyezi amsaidia kwa kweli.Hapana ,jamaa kwa sasa kaachana na mambo ya dini tena...
Kwa mama TambazaUmenikumbusha wale Marasta wa Pale Muhimbili Makaburini dah muda kweli unakimbia ile mbaya
[emoji848]Saigon ana ngoma.
jamaa alikuwa bonge la muhuni
ulishawahi kumuona wapiAsante nimemjua
Huyu sasa atakuwa mwanafalsafa.Hapana ,jamaa kwa sasa kaachana na mambo ya dini tena...
Video iko wapi?Nimeshindwa kuangalia hiyo video, its sad.
Ana tatizo gani huyu legend?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo la kuwa monk lilifanikiwa?Saigon kawa mtu wa dini sana.
Tumekunywa maji ya kisima kimoja.
Enxi hizo Y-Thang, Saigon na ma Ras kibao Tambaza.
Amenikumbusha kipindi nilichotaka kwenda kuwa Buddhist Monk milima ya Himalaya.
Nimesikitika kuhusu kifo cha mkewe.
May he find peace and keep up his old charismatic banter.
Nilipata miito miwili kwa pamoja, ama kwenda milima ya Himalaya kuwa Buddhist monk, ama kwenda Wall Street kwenye mifumo ya mabenki ya dunia.Lengo la kuwa monk lilifanikiwa?
Sijaelewa..Nilipata miito miwili kwa pamoja, ama kwenda milima ya Himalaya kuwa Buddhist monk, ama kwenda Wall Street kwenye mifumo ya mabenki ya dunia.
Nikaamua kwenda Wall St.
Unataka kumuelewa zuzu anae mdharau Mungu? wewe ukishaona binadamu anadharau Mungu ujue ashakuwa mwendawazimu.Sijaelewa..