Mwamba wa Hiphop halisi, Saigon 'Treach' wa iliyokuwa D.P.T ana masahibu gani hivi?

Mwamba wa Hiphop halisi, Saigon 'Treach' wa iliyokuwa D.P.T ana masahibu gani hivi?

Flashback moja ya hatari... Jamaa alikua ana madini sana
 
ni moja kati ya wakali underrated sana. huyu mtu alikuwa anajua kucheza na maneno!Kalinye-kalinye,sikuwa naiokosa kabisa enzi hizo. Eeeh bana daaaaaaaah
 
Uzi wa wahenga


Mtupie picha yoyote tumjue
 
Saigon kawa mtu wa dini sana.
Tumekunywa maji ya kisima kimoja.

Enxi hizo Y-Thang, Saigon na ma Ras kibao Tambaza.

Amenikumbusha kipindi nilichotaka kwenda kuwa Buddhist Monk milima ya Himalaya.

Nimesikitika kuhusu kifo cha mkewe.

May he find peace and keep up his old charismatic banter.
Lengo la kuwa monk lilifanikiwa?
 
Nilipata miito miwili kwa pamoja, ama kwenda milima ya Himalaya kuwa Buddhist monk, ama kwenda Wall Street kwenye mifumo ya mabenki ya dunia.

Nikaamua kwenda Wall St.
Sijaelewa..
 
Back
Top Bottom