Mwamba wa Hiphop halisi, Saigon 'Treach' wa iliyokuwa D.P.T ana masahibu gani hivi?

alianza kuyumba baada ya kufiwa na mkewe.....haya mambo haya yani Saigoni mambo yanamuendea kombo baada ya kufiwa na mkewe huku babu Tale yeye ananenepa mpk mata.ko baada ya kufiwa na mkewe.....

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nazitafuta sana Ngoma za Diplomatz...mwenye nazo aweke link hapa...
 
Lakini as long as tuna dizasta vina hakuna kilicho haribika pengo lake limezibika vizuri bila kuacha space
Usimfananishe huyo takataka dizasta na kichwa kama Nash wewe..Nash ni level ingine ..hao mchele mchele wa kilingeni hamna kitu humo
 
Sasa kwanini na wewe usiwe mtu mkuu ..huoni Mungu nakupenda? Acha kukaza kichwa mkuu ..mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako.
 
Lakini as long as tuna dizasta vina hakuna kilicho haribika pengo lake limezibika vizuri bila kuacha space
Hakuna mtu anaeweza kuziba pengo la mtu duniani..."
 
Elimika, Nufaika, burudika, pata maarifa
Kipindi bora cha iistaAfrika
Kaskazini na kusini wana feel hip hop
Mashariki magharibi wana feel hip hop
 
"Wanawake wanalalamika wanaume wengi ngoma stiff-less, halafu wanaume tunalalamika wanawake wengi ni sex-less!"

What's up Saigon. Long live hommie.

-Kaveli-
Mama dunia ana watoto wawili
Wa kwanza anaitwa tena!
Wapili ataitwa nani?
Aha aha rudia!
 
Kuna kupindi alisema unaweza ukaniona mimi nimedata kumbe mimi nina wingi wa data kuliko wewe.

Kwa hiyo ni lazima utamuona amedata (anawingi wa data) 😁
 
Ila ukiwa mlevi wa hip hop inakuchukua vibaya!
Nikikumbuka kipindi nipo seko mpaka chuo.. Ni hatari sana! Ila uzuri iliniweka mbali na anasa za kipuuzi. Inakujenga unakuwa conscious.
 
Imeniathiri mpaka sasa nikisikia biti tu ayaa! Naiona mistari inakuja kichwani.
 
Sasa kwanini na wewe usiwe mtu mkuu ..huoni Mungu nakupenda? Acha kukaza kichwa mkuu ..mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako.
Nash ni msanii mzuri mwenye nyimbo kuliko dizasta ila uwezo wa dizasta kimashairi ni mkubwa MNO
 
Huyu kijana anaonekana ana akili - akitulia .. Ila sijui madawa!! Akili yake haieleweki. Kama kadata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…