mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,053
- 1,199
Maalim anauza albam tunanunua. Wapenda swaga wafuateni wasafi.Ni suala la muda tu, yuko wapi Hashim Dogo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maalim anauza albam tunanunua. Wapenda swaga wafuateni wasafi.Ni suala la muda tu, yuko wapi Hashim Dogo?
Aisee, na C Pwaa alikua mlevi sana?Anatumia vilevi na mashavu yameshaanza kuvimba kama ya Cpwaaa
alianza kuyumba baada ya kufiwa na mkewe.....haya mambo haya yani Saigoni mambo yanamuendea kombo baada ya kufiwa na mkewe huku babu Tale yeye ananenepa mpk mata.ko baada ya kufiwa na mkewe.....
YeahKwa mama Tambaza
Usimfananishe huyo takataka dizasta na kichwa kama Nash wewe..Nash ni level ingine ..hao mchele mchele wa kilingeni hamna kitu humoLakini as long as tuna dizasta vina hakuna kilicho haribika pengo lake limezibika vizuri bila kuacha space
Sasa kwanini na wewe usiwe mtu mkuu ..huoni Mungu nakupenda? Acha kukaza kichwa mkuu ..mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako.Saigon kawa mtu wa dini sana.
Tumekunywa maji ya kisima kimoja.
Enxi hizo Y-Thang, Saigon na ma Ras kibao Tambaza.
Amenikumbusha kipindi nilichotaka kwenda kuwa Buddhist Monk milima ya Himalaya.
Nimesikitika kuhusu kifo cha mkewe.
May he find peace and keep up his old charismatic banter.
Hakuna mtu anaeweza kuziba pengo la mtu duniani..."Lakini as long as tuna dizasta vina hakuna kilicho haribika pengo lake limezibika vizuri bila kuacha space
Elimika, Nufaika, burudika, pata maarifaElimika- nufaika-makinika
Kuna namna yake alikua anatamka haya maneno. Na style yake ya kufunga kitambaa .. hakafu kuna kibwagizo cha tarib kweli wanakiweka "the real hiphop is over here"
Ths guy ni talented yaburuikabbbh
Huchoki kumsikiliza kabisa kabisa...
Mama dunia ana watoto wawili"Wanawake wanalalamika wanaume wengi ngoma stiff-less, halafu wanaume tunalalamika wanawake wengi ni sex-less!"
What's up Saigon. Long live hommie.
-Kaveli-
Ila ukiwa mlevi wa hip hop inakuchukua vibaya!Nimekaa na Saigon mwaka jana kati kati, nilichogundua jamaa hana Kichwa kizuri cha kunywa kilevi (Double Kick) analewa sana hadi anaanza kugombana na watu, ni basi tu tunamuheshimu na tunajua sio akili yake ndo tunamkimbia kuepesha Shari.
Ila kwa jicho la tatu ni mtu mwenye majuto na stress za hatari sana, na pia kuna kiashiria kwa mbali kwamba pombe haimtaki, haiwezi (Kichwa Panzi) kwani akiacha pombe tu anakua mtu Poa sana.
Pia miaka ile ya nyuma kipindi cha EATV 2007-09 aliachishwa Kazi kwa sababu tu ya pombe akinywa akili zinaruka anaanza kuzingua ile isiyovumilika kabisa.
Namuombea Mwenyezi Mungu ampe tena nafasi nyingine ya kujirudi na kuachana na vyote vinavyomshinda na kumptezea nguvu, maarifa na Heshima yake.
Bado tunamdai vingi kwenye game letu la hip hop...
Saaaaaaaaaaaaana..Aisee, na C Pwaa alikua mlevi sana?
Nazungumzia KimzikiHakuna mtu anaeweza kuziba pengo la mtu duniani..."
Nash ni msanii mzuri mwenye nyimbo kuliko dizasta ila uwezo wa dizasta kimashairi ni mkubwa MNOSasa kwanini na wewe usiwe mtu mkuu ..huoni Mungu nakupenda? Acha kukaza kichwa mkuu ..mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wa maisha yako.