Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
🇮🇱 “Hilo halitatokea.”
Waziri Mkuu Netanyahu alieleza waziwazi:
🔹 Hakuna ujenzi mpya kabla ya kuondolewa kijeshi Magaidi wa Hamas huko Gaza
🔹 Hakuna wanajeshi wa kigeni huko Gaza-Israel haitaruhusu nchi zilizokuwa zinaunga mkono magaidi wa Hamas kushiriki kwenye ujenzi wa Gaza npya.
🔹 Hakuna taifa la Palestina lililowekwa kutoka juu- Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu agongomelea msumari wa mwisho kwenye jeneza la Taifa fake la palestina.
Israeli itamaliza kazi hiyo.
Kuipokonya silaha Hamas.
Kuharibu handaki.
Kuzuia Iran na mhimili wake wa ugaidi kujijenga upya.
Na ikiwa Tehran itathubutu kushambulia?
Netanyahu alionya: “Tutajibu kwa nguvu ambayo Iran bado haijaiona.” na kama hawajui kufa basi wachukulie kabuli wataelewa nini maana ya kufa!!
Vita vya Ukombozi vinaingia katika awamu yake inayofuata.