Who is Netanyahu? Anayeunda bodi ni Trump, so huyo Kijakazi ni mtekelezaji tu wa maelekezo sio kwamba maoni yake ndio yatasimama.
Na kumbuka ana arrest warrant ICC, siku akimzingua Trump usishangae akabebwa mzobe mzobe kama maduro na kupelekwa gerezani