Mwambieni Ali Kamwe na utopolo wenzake hamna kitu kinaitwa mashindano ya CAF, Kuna Cafcl na Cafcc

Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.

Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
Simba ni bingwa wa kombe gani!?
 
Inakuwaje tunaojihita wa KIMATAIFA kwenye tangazo letu la kuwatakia Waislamu Ramadhani Kareem tumeweka majina ya WADHAMINI wetu?

IMG-20230323-WA0010.jpg

IMG-20230323-WA0011.jpg

Tuache ushamba.
 
Hizi zote ni chuki dhidi ya mafanikio ya yanga. Walitamani wabaki pekeyao kwenye michuano ya caf ili waringe mtaani lakini haikuwa hivyo. Na kwa taarifa yenu nyie mwisho wenu ni robo fainali huku yanga akienda nusu au kulibeba kombe kabisa
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.

Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
Atanuna sana yule kijana kwa andiko hili.
 
Simba Iko ligi ya mabingwa, swali, kwani Simba ni bingwa wa nchi Gani?

CAF inatakiwa kuheshimu mpira ligi ya mabingwa zicheze timu bingwa tu!
Ata mwenyewe nashanga mashabiki wa simba kujigamba kuwa wanacheza ligj ya mabingwa halafu hawajulikani mabingwa wa nchi gani. Timu yenyew ni kishirikina uchawi umejaa sana hawa ndio wanaoharibu soka la kimataifa kwa vitendo vyao vya kishirikina
 
Simba alipoibeba Yanga wakaenda wote Club Bingwa, Yanga alikuwa Bingwa wa Nchi gani?

Kichwa kibebe ubongo, sio nywele
Simba haijawahi kuibeba YANGA FC kamwe sababu miaka yote Simba anashiriki CAFCL, Yanga ilikuwa inashika nafasi ya pili, inamaana Yanga ilikuwa inaingia kwenye CAFCC kwa tiketi ya nafasi ya pili ligi kuu TZ.

Madunduka mtakuwa na akili lini?
 
Kwa mujibu wa mtoa mada anasema CAFCL wanashiriki mabingwa tu ndomana watu wanamuuliza swali ji Simba ni bingwa wa Ligi gani??
Wew elewa ni bingwa,,,hayo ya kuwa 'Cafcl kuwa wanashiriki mabingwa wa ligi 'sijasema Mimi,,mim nimesema 'Cafcl wanashiriki mabingwa'
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.

Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
utofauti upo hapa: Simba Sc anacheza ligi ya mabingwa.. Uto a.k.a mwiko nyuma anacheza kombe la kushirikishwa.. kwa ufupi mwenye hii nyimbo ni Simba Sc feat. Yanga
 
Simba haijawahi kuibeba YANGA FC kamwe sababu miaka yote Simba anashiriki CAFCL, Yanga ilikuwa inashika nafasi ya pili, inamaana Yanga ilikuwa inaingia kwenye CAFCC kwa tiketi ya nafasi ya pili ligi kuu TZ.

Madunduka mtakuwa na akili lini?
[emoji23][emoji23] bila ya simba kuleta hizo nafasi 4 za kimataifa, ungeenda kimataifa kwa nafasi yako ya pili ?
 
Mwambieni bwana mdogo Kuna Caf champions league "Cafcl" na kombe la malooser" CAF confederation cup 'cafcc'.

Tofauti zake ni kuwa Cafcl ni ligi kwaajili ya mabingwa tu na hyo nyingine ni kombe la shirikisho ni Kama viti maalumu tu vya wanawake pale bungeni..

Mwambieni ache kupoteza watu maboya kuwaambia kombe la CAF ,,hamna kitu Kama hocho CafCL ni dude kubwa sio Kama Cafcc
Kwahyo msimu uliopita mlikuwa wanawake na mkaroga katikati ya uwanja mpate viti vyenu maarum na bado mkashindwa
 
Back
Top Bottom