Mwambieni Augustine kuwa Ghana haijaweza Kushindana Kindumba na Kwao Max huko Gongo DR

Mwambieni Augustine kuwa Ghana haijaweza Kushindana Kindumba na Kwao Max huko Gongo DR

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile.

Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee Kwao na Kariakoo na Tanzania akuone ni Nuksi tupu.

Kudadadeki.....!!
 
Vitu hivi tuliamini zaman lakini sasa tunaamini mpira mchezo wa wazi...
Fanya mazoezi utaonekana..wachezaji wa ligi zetu wengi hawapendi kujituma kimazoezi
 
Ila kitendo cha simba kutumia wachezaji walewale kila mechi ni sawa na kujimaliza wenyewe. Mkirudi ligi kuu hamna chenu
 
98% ya thread wachezaji kurogana, timu kuroga n.k zinaletwa na mashabiki wa Simba.
Sasa kama kiongozi wao ndio mzee mangungu.. na wengi wao ndiohvyo tena mwezi utagemea watakuwa na fikra gani?
Tuwasamehe
Ova
 
Inawezekana Yanga huijui vyema, Sina hakika kama Max na Okrah wanacheza namba moja. Na la mwisho ni kwamba kwa Yanga aliyeteka nyoyo za wana Yanga ni Professor Pacome. Huyu ndiye anayeimbwa kwasasa
 
Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile.

Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee Kwao na Kariakoo na Tanzania akuone ni Nuksi tupu.

Kudadadeki.....!!
Kwa nini Max amloge Okrah ambaye wala hawapiganii kucheza nafasi moja?
 
Back
Top Bottom