Mwambieni Augustine kuwa Ghana haijaweza Kushindana Kindumba na Kwao Max huko Gongo DR

Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile.

Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee Kwao na Kariakoo na Tanzania akuone ni Nuksi tupu.

Kudadadeki.....!!
Mpwaaaaa umenichekeshaaa sanaaa kwelii.misumariiiii ipojamaan mmmh
 
98% ya thread wachezaji kurogana, timu kuroga n.k zinaletwa na mashabiki wa Simba.
No. 100% surely. Halafu wanajiita vijana. Lakini sishangai walikuwa na mwenyekiti wao alikuwa anaitwa Bamchawi.
 
Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile.

Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee Kwao na Kariakoo na Tanzania akuone ni Nuksi tupu.

Kudadadeki.....!!
Aaaa shemeji heri ya mwaka mpyaa...
 
Harakati za Genta
1704621171281.jpg
 
Back
Top Bottom