GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huyo Mtoto wa Kikongo hatari na Kaaga Kwao. Kuna Mtu alishamtonya Kitambo tu ujio wa huyo Mghana Machachari nae akaamua kumuwahi kwa Pini ya maana ya. Jana. Na hapo bado Kudadadeki.....!!Aisee jamaa wanachomekea hadi koti la suti
Nashanga Sana kuona anatamba humu
Upo sahihi kabisa 💯98% ya thread wachezaji kurogana, timu kuroga n.k zinaletwa na mashabiki wa Simba.
Hili nalo linapaswa kuundiwa Kamati.98% ya thread wachezaji kurogana, timu kuroga n.k zinaletwa na mashabiki wa Simba.
Sasa kama kiongozi wao ndio mzee mangungu.. na wengi wao ndiohvyo tena mwezi utagemea watakuwa na fikra gani?98% ya thread wachezaji kurogana, timu kuroga n.k zinaletwa na mashabiki wa Simba.
Ila kitendo cha simba kutumia wachezaji walewale kila mechi ni sawa na kujimaliza wenyewe. Mkirudi ligi kuu hamna chenu
Kwa nini Max amloge Okrah ambaye wala hawapiganii kucheza nafasi moja?Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile.
Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee Kwao na Kariakoo na Tanzania akuone ni Nuksi tupu.
Kudadadeki.....!!
Ukute kasha kula chumaLeo popoma hajibu mtu anaogopa kula ban[emoji38]