Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
wewe tu na bando lakokwahiyo kupenda ni dhambi..? wanajamiiforum wa jukwaa la mapenzi sijui vipi!! bora nikashinde jukwaa la dini nikaimbe kwaya huko...🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe tu na bando lakokwahiyo kupenda ni dhambi..? wanajamiiforum wa jukwaa la mapenzi sijui vipi!! bora nikashinde jukwaa la dini nikaimbe kwaya huko...🤣
Wewe ndo mtuhumiwa namba moja wa lalamiko hili lililopo meza kuu?😂😂😂😂😂nimecheka had nimelia
Sio kweli 😃Wewe ndo mtuhumiwa namba moja wa lalamiko hili lililopo meza kuu?
Mkuu kenzy angalia usije changanyikiwa ..Ni heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...?
naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote nilikuwa natetemeka almanusra nizimie!.
Nashindwa hata kuandika vyema ila asikilize huu wimbo wa aaliyyah unaitwa "are you that somebody" mwambieni haswa mimi ndimi.
View attachment 3082683
Mapenzi hayana baunsa quoted from mwijaku.nilijuaga uko vizuri upstairs umenidhihirishia kuna fyuzi zimelegea
Jamaa na marafiki na nduguzo humu ndani tumeshitushwa na hili andiko lako.bado sana!