kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Huku Dar umeme umeanza kukatika hovyo hovyo tena sahivi unakatika muda mrefu sana hadi masaa 8. Juzi nilikua sehemu fulani nje ya mji umeme ulikatika kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 1 usiku ndo walirudisha. Dalili za kuonyesha hali sio shwari ni pale umeme ukirudi watu wanashangillia hii sio ishara njema kabisa.
Umeme unakatika sana sahivi yaani tumerudi mwaka 2015 huko hii nchi ni ngumu sana. Mwambieni JM kwamba Tanesco inahitaji kuongozwa kwa akili na nguvu pia. TANESCO inahitaji mtu mwenye akili nyingi pia inahitaji kutumiwa nguvu tu hili shirika limeoza bila mijeledi haliendi.
Umeme unakatika sana sahivi, kwa kipindi fulani tulikua tushasahau umeme kukatika ukiona hauwaki ujue labda umeisha kwa luku yako lakini sasa hivi tumerudi kulekule
Hali ya kukatika kwa umeme DSM ni mbaya sana.