GT nilijua tu utakuwa wa kwanza kucomnent huu uzi. Dah watu wanaanza kumkumbukaWewe nae umezidi, kila dakika unalialia tu utakufa na magonjwa yasiyoambukiza!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GT nilijua tu utakuwa wa kwanza kucomnent huu uzi. Dah watu wanaanza kumkumbukaWewe nae umezidi, kila dakika unalialia tu utakufa na magonjwa yasiyoambukiza!
Kama yeye analeta malalamiko kwanini na wewe usilete Thread za kusifia. Kama shida haijakukumba unawashwa Nini kuja kwenye nyuzi wanaume wenzio kuleta Mata-Core yaliyojaa vinyweleo mwanaume mzima!Huyu thread zake zote ni malalamiko mara Magu hivi,mara mama hivi,mara makamba hivi yaani siku nzima analialia tu.
Sijui nikutukane!! Inamaana nachoongea hapa naota au inamaana nimekurupuka au kusema uwongo kwamba umeme unakatika?Hata moshi mimi nimetokea huko!Ndugu mwandishi wakati mwengine uongo hausaidi!!...Mimi nipo Dar maneno ambayo natembelea kila siku sijawahi kusikia hii Habari ya kukatika umeme hovyo...kule kijijini kwetu Moshi pia sijasikia wakisema kuhusu umeme wa mgao!!.. Nadhani huko unapo Ishi kuna marekebisho ya Nguzo na hili liko wazi sana!!..
Mkuu kumbe tuko pamoja kwenye heavily gated affluent neighborhoodSie wa Masaki huku mbona haukatiki😂 au sio mjini?
Wapi huko ambapo umeme umekatika 24 hours!!!... Tuache uongo huu!!... Wengi humu tunafanya shughuli zetu mikoa karibu yote na hatuja sikia hii wewe uko mkoa gani?!!Mimi sehemu ninyaoishi Juzi usiku kucha kulikuwa Hakuna umeme na Jana mchana walikata umeme kwa masaa 7.
Acheni kupinga vitu kwasababu shida haipo maeneo yenu.
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa hivi tuko na Mama...mtanyooka tuFunga mdomo ww mfia mwendazake
Kuna majitu Kama kichwani yamefungasha mafurushi ya mavi na sio akili.Sijui nikutukane!! Inamaana nachoongea hapa naota au inamaana nimekurupuka au kusema uwongo kwamba umeme unakatika?Hata moshi mimi nimetokea huko!
Unaweza kutukana lakini ukweli ni kwamba hakuna Mgao wa Umeme nchi hii!!..Ukiona Kuna shida ya Umeme ni marekebisho ya Nguzo na taarifa zina tolewa siku kadhaa kabla!!Sijui nikutukane!! Inamaana nachoongea hapa naota au inamaana nimekurupuka au kusema uwongo kwamba umeme unakatika?Hata moshi mimi nimetokea huko!
Kwetu kuongea na Mwanamke Ulietolewa Bikra na Nguruwe ni haramu.Sasa hivi tuko na Mama...mtanyooka tu
Nina ofisi hapo Kwa Manyanya sijawahi kusikia vijana wanasema umeme umekatika!!..Nina ofisi Makumbusho na Mwananyamala sijawahi kusikia umeme umekatika,Nina ishi Kigamboni sijawahi kuona shida hii ya Umeme!!Kuna majitu Kama kichwani yamefungasha mafurushi ya mavi na sio akili.
Huku Kinondon juzi umeme umekatika kuanzia asubuhi Hadi saa moja usiku.
Halafu linatokea Jitu linaishi kwa shemeji Yake linashupaza shingo eti Hakuna tatizo kwasababu liko Dar.
Pumbav kabisa
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
We ni shwaini!Unaweza kutukana lakini ukweli ni kwamba hakuna Mgao wa Umeme nchi hii!!..Ukiona Kuna shida ya Umeme ni marekebisho ya Nguzo na taarifa zina tolewa siku kadhaa kabla!!
We ni ShwainiNina ofisi hapo Kwa Manyanya sijawahi kusikia vijana wanasema umeme umekatika!!..Nina ofisi Makumbusho na Mwananyamala sijawahi kusikia umeme umekatika,Nina ishi Kigamboni sijawahi kuona shida hii ya Umeme!!
Eeh mkuu si unajua hatupendi show off tu ila dharau zimezidi! 😂Mkuu kumbe tuko pamoja kwenye heavily gated affluent neighborhood
Nina ofisi Mtaa wa Congo Ndugu na nyingine samora Rafiki yangu huko kote sijawahi kuona shida hii!!..Wewe Endelea kuongopa TuWe ni shwaini!
Ndio madhara ya Kukaa kwa shemeji zenu huna unalojua.
Nenda kariakoo muda huu uwaulize kuhusu trend ya umeme walau kwa wiki moja halafu urudi kupiga Domo lako.
Mkishakaa kwa shemeji zenu mnasubiri dada zenu wapelekewe Moto ndio mnywe juice mkiwa mmekaa kwenye Masofa ya mwanaume mwenzemu huwa hamjui hizi zinaendaje
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Wewe hata hujui una sema nini Una sikikiza Kwa watu alafu Una kuja kuandika hapa!!..We ni Shwaini
Makumbusho Juzi umeme umekatika masaa 8 au unazunhumzia makumbusho ipi
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app