Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

Jamaa sijui kala maharage ya wapi
 
Matatizo ya umeme tulianza kuyasahau! Automatically watu wameanza kununua generators kujihami shughuli zao! Sometimes naelewa kwanini JPM kuna watu aliwashughulikia bila huruma.
Ukiwa mfanyabiashara au na Nyumba kuwa na standby Generator ni kawaida sana!!...
 
Umeme umekatika toka asubuhi hadi mda huu, zaidi ya masaa sita hakuna umeme...na ni maeneo mengi hapa mjini. Acha upumbavu!
 
Hapa ndio umakini wa JPM unakuja, huu upumbavu haukuwahi kuwepo, binafsi nilisahau kabisa hizi mambo za kukatika kwa umeme ovyo kiasi hiki.

JM ameweka mabeste zake, mama nae yupo tu sasa tutegemee majenereta kufanya kazi yake. Watu wa pwani kuna wakati wanakuwa wa hovyo hovyo tu, hivi JM nae si mtu wa pwani tu, hapo bumbuli si pwani tu..
 
Ndio inamaana naongea uwongo?
Sijui nyie na mikoa yenu,mkoani kwetu umeme ukikatika Sana basi ni masaa sita napo mara moja au mbili kwa wiki kwa ajili ya matengenezo.

Vinginevyo umeme huwa unakatika nusu saa au saa moja mara moja kwa wiki tena umeanza baada ya uchaguzi,kabla ya hapo kukatika umeme nilikuwa naskia huko Dar
 
Mgao umerudi tena? Maana si kwa kukatika huku kwa umeme. Kuna shida gani?
 
Mpigie simu au muandikie barua
 
Acha tuuze majenereta mkuu
 
1. Unapotoa mfano uwe halisi, 2015 umeme ulikuwa imara chini ya mwamba Muhongo.
2. Umeme utakatika sana, lengo kumhujuma Makamba.
3. Lazima wamkaribishe kwa kukata umeme, nchi hii ina wenyewe
 
Asante sana chief, tukutane hapo Sea Cliff tupate cha mchana mkuu wakati tunajadili hali ya shirika letu pendwa!

Tulibaniwa sana na msukuma yule, wacha tuangalie namna ya kutengeneza mazingira ya hela kidogo kwa miaka michache ya mama yetu kipenzi!
Acheni unaa mazee[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…