Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam




Km umekasirika hamia Burundi 🤣🤣🤣
 
Kutokana na Majibu yako humu,itoshe kusema Huaminiki.
Soma vizuri muda ambao nilikua Bonyokwa ni zaidi ya lisaa ndio nikasema Bonyokwa kuna umeme!!..Nimesema Makumbusho, Mwananyamala,Mtaa wa Congo kuna ofisi huko Kwa muda ambao kuna taarifa za kukatika umeme sijapata taarifa kwasababu Kazi zinazofanyika huko ni umeme masaa yote!!..Nikasema naishi Kigamboni sijawahi kuona Umeme umekatika Kwa muda mrefu sasa
 
Wanamkomoa

Mimi imebidi ninunue power guard.
 
Makamba ana akili sana ila kwenye hili la TANESCO aliongozwa na chuki ya serikali ya awamu ya 5. Nadhani anapaswa kujifunza kwa Dkt JK, huyu mzee nampenda sana ana akili nyingi mno kwenye utendaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…