Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

Wewe nae umezidi, kila dakika unalialia tu utakufa na magonjwa yasiyoambukiza!
Kwamba kusema wanakosa huduma ya umeme wa uhakika ni kulalamika ? Kwamba hilo ni jambo la kawaida ?

Kwani kazi ya hao Tanesco ni ipi zaidi ya kuhakikisha umeme upo muda wote. Hapo sijagusa gharama (bado tunawapa muda Bwawa likamilike)
 
Kwamba kusema wanakosa huduma ya umeme wa uhakika ni kulalamika ? Kwamba hilo ni jambo la kawaida ?

Kwani kazi ya hao Tanesco ni ipi zaidi ya kuhakikisha umeme upo muda wote. Hapo sijagusa gharama (bado tunawapa muda Bwawa likamilike)
Hilo jamaa ni li shoga


Mwanaume anakuja kumlalamikia mwanaume mwenzie anaeleta kero
 
Mh. Waziri Makamba nakumbuka hotuba yako ya kwanza ulipoteuliwa, ulijitanabaisha kwa kusema unataka ndni ya wiki mbili mbili upewe sababu za kukatika mara kwa mara umeme. Nilipata matumaini makubwa kutokana na kauli yako. Lakini kama watoto wa mjini wanavyowatania wanasiasa kutokana na kauli yao kwamba kukatika kwa umeme utakuwa historia na kuwajibu kwamba sasa ni physics au basic mathematics maana ni kilio cha wanafunzi wengi wa kitanzania huko mashuleni. Mpaka muda umeme umekuwa changamoto baadhi ya maeneo hususani huku moshi. Napenda nikuulize mpaka hujajua sababu ya tatizo hili? Mungu ibariki Tanzania
 
Hata mkoa wa Ruvuma umeanza kukatika hovyo hovyo tu. Yaani tutashuhudia majanga mengi sana yaani. Mungu atusaidie. Kwa kweli this time tutashuhudia mengi. Ubadhirifu mkubwa utafanyika kwa nguvu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…