GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Nitakuwa ni Kocha wa ajabu niache Kuwapanga akina Dube na Mzize ambao wananionyesha bidii kubwa kuanzia Mazoezini na hata katika kila Mechi ambazo huwa nawapanga halafu nimpange Baleke ambaye hata nikimpa tu nafasi kwa dakika chache hakuna anachonipa" amesema Kocha Mkuu wa Yanga SC Miguel Gamondi.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One iliyoko hewani sasa
Kwa zile Dharau na Nyodo alizotufanyia Simba SC baada ya Kuachwa na kwenda Yanga SC nilijua tu yatamkuta haya.
Chanzo: Spoti Leo ya Radio One iliyoko hewani sasa
Kwa zile Dharau na Nyodo alizotufanyia Simba SC baada ya Kuachwa na kwenda Yanga SC nilijua tu yatamkuta haya.