GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Angekuwa na tabia za Kishoga ungekuwa Unammanulia ili aishindilie nayo yote?Jamaa anatabia za kishoga sana,anashobokaa hovyoo. Pole mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa na tabia za Kishoga ungekuwa Unammanulia ili aishindilie nayo yote?Jamaa anatabia za kishoga sana,anashobokaa hovyoo. Pole mkuu!
Kama Baba yako Mzazi.Daah kumbe tayari kashapoteza marinda yake?
Acha Upumbavu, umezidi.Acha Upuuzi, umezidi
Chezea Wazee wa Simba SC kwa kujua kupiga Pini za uhakika kwa Wachezaji wenye Jeuri na Kashfa?baleke anapikwa si muda mrefu kutoka sasa utamuona
Tofauti inaweza kuwa mwenzako anasikiliza vipindi vya michezo kwenye Rolls Royce huku wewe ukiperuzi habari za michezo kwenye Tecno F1.Hivi kwenye Dunia ya leo kumbe bado kuna mapimbi wanasikiliza vipindi vya michezo redioni?
Bora angekaa kimya tusungejua kuwa ni mpumbavuItoshe kusema kwamba wewe ni mpumbavu. dunia nzima mpira bado unatangazwa kwenye redio na vipindi vya redio vya michezo ndivyo vinavyo ongozwa kufuatiliwa na watu. halafu, wewe unajifanya mjanja kisa kutumia hivyo vionline tv ni mjanja au vikurasa vya instagram na mitandao mingine ya kijamii. hovyo sana wewe mtu.
Redio zina play sehemu kubwa sana kwenye kuhabarisha watu ebu fikiria kabla ya ujio wa simu watu walikuwa wanatumia nini kama sio redio huyo anayejifanya mjanja nafikiri yeye ndie mjinga wa kwanza kuamini redio hazina maana.Itoshe kusema kwamba wewe ni mpumbavu. dunia nzima mpira bado unatangazwa kwenye redio na vipindi vya redio vya michezo ndivyo vinavyo ongozwa kufuatiliwa na watu. halafu, wewe unajifanya mjanja kisa kutumia hivyo vionline tv ni mjanja au vikurasa vya instagram na mitandao mingine ya kijamii. hovyo sana wewe mtu.