Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Hakuna kitu kinachotukera ndani ya Simba kama Back Pass, mpira akishika Razak Hamza anarudisha kwa Camara, Che Malone akianzishiwa mpira anasogea nao halafu anamrudishia tena Camara, Kagoma naye hivyo hivyo,
Ngoma naye hivyo hivyo, yaani kurudisha nyuma kwa kipa Camara yaan Back Pass hata kama ndio modern football Simba imezidisha, leo Back Pass ndio imemfanya mtoto wa watu ashikiwe bango siku nzima ingawa nina uhakika kabisa ile ni shoti.
Soma Pia: Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025
Ufundishaji huu wa Back Pass tukiendelea nao tarehe 8 Machi tumekwisha, wale cjui Pacome, Mzize, Mzengeli, na Aziz mh.
Ngoja nilale mimi nisije kuambiwa sio Simba