Mwambieni “Kwevo” hivo vinjunga awaachie akina Konde Boy

Mwambieni “Kwevo” hivo vinjunga awaachie akina Konde Boy

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kwa miguu hii kama minazi ya coco beach msanii wenu “Kwevo” anazingua sana kuvaa vipensi “vinjunga”. Kwaufupi anazingua.
2707E945-6D9C-45FB-947C-604D78FE028E.jpeg
 
Kwa miguu hii kama minazi ya coco beach msanii wenu “Kwevo” anazingua sana kuvaa vipensi “vinjunga”. Kwaufupi anazingua.View attachment 2700837

Kapendeza sana.
Ukweli maskini huwa tuna njia ya kutafuta relief kwa watu waliotuzidi tukifikiri kufanya hivyo ni kutafuta uwiano na wao.
Ni msanii mkubwa tokea familia maskini, mitaa ya kimaskini asiyekuwa na elimu kubwa. atabaki kuwa inspirational kubwa kwa vizazi na vizazi.
 
Chama huru akiingia muafrika ili wakutawale sheriti la kwanza wale tako na uwe hujawahi liwa tako .wazungu mafundi.na ndo sherti kulikisha ukikataa matakwa na nusu ya mapato yao.kimsingi hawafanyi hivo kukomoa wanataka usitoe siri.wajenzi huru wa kweli hawaliwi tako .usithubutu
 
Back
Top Bottom