Mwambieni Makonda asithubutu kulitaja taja jina la Hayati Magufuli, atatumbuliwa

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hotuba zake.

Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba zake. Akijichanganya tu, ajkalitaja jina la dikteta jiwe (in a positive way), atatumbuliwa na kupotezwa mazima.
 
Wenye nchi wanajua wanachofanya juu ya Hawa wanasiasa uchwara.
 
Daudi Albert Bashite.
Swali.

Kuna mwalimu mmoja nilikutana naye mwaka 1996 mkoani Tabora na jina lake aliitwa hivyohivyo, Paulo Makonda.

Sijajua uhusiano au ni mfanano wa majina tu.Kazima Sekondari.
 
So far Adui wa Watanzqnia ni yule Aliyewauza Wananchi na Kugawia Bandari yao kwa Mwarabu.

Nyie manokuja na hizi nyuzi ndio mnaoataka kututoa kwenye Reli.

Nchi hii inahitaji Mapinduzi ya kweli, haraka na hitimilifu. Kuanzia vyama vya Siasa, Mitandaoni mpaka Serikalini.


Mtashindwa tu nyie Vibaraka na mawakala wa Mabeberu.
 
Daudi Albert Bashite.
Swali.

Kuna mwalimu mmoja nilikutana naye mwaka 1996 mkoani Tabora na jina lake aliitwa hivyohivyo, Paulo Makonda.

Sijajua uhusiano au ni mfanano wa majina tu.Kazima Sekondari.
Paulo Makonda ni Mwalimu wa Sekondari ulikutana nae 1996? Asante, naona DAB anakuzoom tu
 
Ndiyo atuambie kama ni jina lake la urithi au alibatizwa ukubwani.Nakumbuka huyo mwalimu alikuwa ni headmaster wa hiyo Kazima Sekondari baada ya Mama Muhoja kuhama.
Paulo Makonda ni alikua headmaster wa Kazima Sekondari mwaka 1996 baada ya Mama Muhoja aliekua headmaster kuhama, naona DAB anakuzoom kwa sauti
 
Kwani Makonda ni adui wa nani?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Watanzania toka lini wakawa na uadui na Magufuli mbona mnatumia propaganda nyingi kuaminisha umma Magufuli alikuwa adui wa wote sema adui yenu nyie vyeti feki,mafisadi,wala rushwa,wauza ngada

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Makonda ni adui wa nani?
Hivi maadui wa Watnzania kwani hawajulikani?

Unawezaje kumnyamazisha , mtu yeyote asimtaje Adui wenu.

Hizi ni porojo tu. Walimdanganya Rais SSH na kampeni zao za Uhasama , mama akaingia Kichwa na sasa anaanza kurudi akili.

Naona wameanza tena kurudi na mambo ya kutunga baada ya kuaibika na Uwongo wao wa Awali.
Shabash, haiingii akilini Ukamkataza mtu asiwataje maadui zake!

Konyo Konyo kabisa
 
Sema adui yako. Magufuri hakuwa na ugomvi na watanzania walio wengi. Maadui zake ni wenye vyeti feki, wauza madawa ya kulevya, wezi ambao aliwatumbua serikalini, wavivu na watu wa aina hiyo. Hawa huhisi kuwa Magufuri aliwashughulikia kwa kuwaonea. Takwimu mtaani zinasema kinyume na haya unayosema hapa
 
Makonda alikuwa bepari na ni bepari mpaka sasa kwa hio ni mwizi toka enzi acha jua liwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…