Mwambieni Makonda asithubutu kulitaja taja jina la Hayati Magufuli, atatumbuliwa

Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hutuba zake.

Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba zake. Akijichanganya tu, ajkalitaja jina la dikteta jiwe (in a positive way), atatumbuliwa na kupotezwa mazima.
Jiwe mbona alikuwa fresh tu, uliwahi kula za uso kutoka kwake? Na sisi akikaka kimya bila kumtajataja magufuli katika hotuba zake tutamuona ni mlamba viatu wa waliomkuza mpaka magufuli akamuona na ni haohao wamemrudisha chatini baada ya kudidimia kisiasa kwa muda tangu atoke ukuu wa mkoa. Asiwe mnafiki aimbe mapambio na korasi kumtajataja magufuli katika hotuba zake.
 
Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hutuba zake.

Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba zake. Akijichanganya tu, ajkalitaja jina la dikteta jiwe (in a positive way), atatumbuliwa na kupotezwa mazima.
Khanithiiii ww
 
Adui wa nyumbu
 
Back
Top Bottom