Makonda hajasimama kwenye majukwaa ya kisiasa kwa muda, hivyo anaweza akaja na wenge la kumtaja taja adui wa watanzania (jiwe) kwenye hutuba zake.
Wenye nchi tutakuwa tunafuatilia sana hotuba zake. Akijichanganya tu, ajkalitaja jina la dikteta jiwe (in a positive way), atatumbuliwa na kupotezwa mazima.