Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

Mwambieni Morrison aanzishe Timu yake na Amsajili Manula ila kwa tunaomjua Madhaifu yake na Alivyotuumiza hapati Namba Simba SC hii ya sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Aliyekuwa winga wa klabu za Simba na Yanga, Bernard Morrison amempa maua yame kipa Aishi Manula kwa kiwango kizuri alichokioinesha katika mchezo wa kufuzu Afcon 2025 dhidi ya Guinea.

Morrison ameweka ujumbe katika Insta story yake baada ya Taifa Stars kuichapa Guinea bao 1-0 na kufuzu michuano ya Afcon 2025.

"Aishi Salum Manula Atalala kitandani kwake kwa miaka mitano na bado atarudi kuwa kipa bora. Usahihi, mbinu na ubora," ameandika Morrison.

Manula amekuwa nje kwa muda mrefu akiuguza jeraha la mguu baada ya kupona akawa anakaa benchi Simba huku Moussa Camara wa Guinea akianza golini.

Chanzo: mwananchi_official

Kipa Mpuuzi sana na ni mpenda Hela (Duka) halafu Mnafiki na Muongo. Nina Hasira nae hadi leo kwa zile Goli 5 kwa 1.
 
Back
Top Bottom