Mwambieni Pep Guadiola haya machache kuhusu EPL

Mwambieni Pep Guadiola haya machache kuhusu EPL

Na ndo maana ligi ya uingereza imeporomoka viwango vya ubora wa soka UEFA
 
Naelewa maana ya underrated
Unajua kuna vitu vingine waga mnarukia tu bila kuelewa, ata siku moja wenger hajawahi kuwa overrated bali amekuwa underrated kulingana na hiyo point yako uliyoitoa hapo juu ya kukaa muda mrefu bila kushinda kombe kubwa, ila wachambuzi na makocha wamekuwa wakipinga kumweka fungu la underrated wenger kwakuwa amefanya kile alichokuwa anatumwa kufanya na uongozi wake

ni sawa naww uwe mwalimu mkuu wa shule fulani alafu vision ya shule iwe ni kuingia top ten ya shule zinazofaurisha ilhari hauna vitendea kazi vizuri, kama walimu wazuri, maabara, vitabu vya kutosha ili unapomaliza top 10 zile hela za pongezi na zawadi ndio utumie kujenga madarasa mapya, maabara, uajili walimu wazuri ili uweze kushindana na zile shule zinazomaliza namba 1 na 2 au mpaka 3

ila kwa hicho kipindi hicho chote hujawahi kushika namba 1,hapo kwa walio nje ya malengo yako watakuwa wanajiuliza huyu vipi mbona kila mwaka ye anamaliza tu wa 7,8 au 6 kwanini asimalize wa 1 au wa 2 kumbe lengo lako na mwajili wako liko tofauti, ndo mfano wa wenger ye alikuwa anatimiza plans za matajiri wake na hawawezi kumsema vibaya ata siku moja, kwani alipowatoa na walipo leo kwa wao ni mafanikio, so inategemea una mjudge vipi wenger kwa mafanikio ya vikombe au laaa

sasa nashangaa kuskia mnasema eti wenger ni overrated.....! Nikiuliza ambae ana mu-overrrate ni nani? Utajibu nini?, wenger ni underrated na sio overrated mkuu, na kuhusu kocha kama pep amekuta barca ishakuwa nzuri toka kwa frank ye akaendeleza tu falsafa ya club, katoka barca amenda club ambayo alikuwa ye anafanya kuchagua tu mchezaji sokoni na team ina mchukua ss utasema pep kakutana na ugumu gani kwenye kazi yake ya ukocha? Ye anafundisha team kubwa tu
 
Mwambien pep kuwa EPL kuna big match nne yaan
vs Man untd
vs Arsenal
vs Liverpool
vs Chelsea

alfu kuna mechi tano za wabishi wa ligi
vs Totenham
vs Southampton
vs Everton
vs Stoke
vs Westham
yaaan hawa jama hata uwe mgumu vipi lazim mmoj wao akufunge

alfu kuna mechi tatu na watu wenye bahati na ligi
vs Leicester
vs Sunderland
vs westbrom
na kuna mmoja kashuka daraja anaitwa wigan
yaan hawa jama kazi yao kuchukua poit moj moja tu kutoka kweny timu za big four ili mradi wabaki kweny ligi

Pep karbu sana epl huku hakuna granada wala levante.....ila huku kuna crystal palace ambao wana uwezo wa kumiliki mchezaj mweny thamani ya paund milion 30 plus mshahara paund 120000

Karibu katika ulimwengu wa vita na sio ligi kama ulivyozoea
Umesahau pia kumwambia kuwa EPL pia kuna timu za chini kabisa zinazopigania maisha yao zishishuke daraja, ni burudani tupu!! Ukikutana nazo hizi lazima uhenye!
 
Ngoja tu, soon wenger ataanza kupewa heshima anayostahili baada ya hawa overrated coach kuflop, maana wanamchukulia poa sana
Wenger ni overrated. Uwezi kumuweka kwenye levo moja na Pep au Mourinho. Makocha waliochukua makombe ya kila aina wakati yeye hana kombe lolote la Ulaya.
utadai julio ni kocha bora kuliko kibaden,ksa kachukua kombe
 
Na ndo maana ligi ya uingereza imeporomoka viwango vya ubora wa soka UEFA
uefa majungu tu,hawana lolote,usiwaamin,blatter kafichua walvokua wanapanga mech wapge hela,huon ratiba ya uefa cl ipo tofauti leo
 
Unajua EPL inabid uende kwa mahesabu makali la sivyo utaambulia patupu na mwisho wake ni kufukuzwa kazi.....cha msingi usitoke kwenye mashindano ili mwisho wa siku ulambe vikombe hata viwili ndo anachofanya mbishi mwenye roho ya paka na asiyejua mpira Mtu mzima Jose mourinho...sio Chelsea anapuyanga tu sa hv amebakiza makombe mawili...la ligi hawezi chukua linabaki FA ambalo liver naye analimendea...mwisho wa siku anaambulia patupu na wanafukuza kocha Kabla ya Christmas.....Ha ha ha haaa Ukweli mchungu na NGUMU KUMEZA
 
Unajua EPL inabid uende kwa mahesabu makali la sivyo utaambulia patupu na mwisho wake ni kufukuzwa kazi.....cha msingi usitoke kwenye mashindano ili mwisho wa siku ulambe vikombe hata viwili ndo anachofanya mbishi mwenye roho ya paka na asiyejua mpira Mtu mzima Jose mourinho...sio Chelsea anapuyanga tu sa hv amebakiza makombe mawili...la ligi hawezi chukua linabaki FA ambalo liver naye analimendea...mwisho wa siku anaambulia patupu na wanafukuza kocha Kabla ya Christmas.....Ha ha ha haaa Ukweli mchungu na NGUMU KUMEZA
toka mfungwe goli nne na conte mmebaki kubwabwaja tu hivi unadhani mourinho atachukua kikombe chochote msimu huu !
 
toka mfungwe goli nne na conte mmebaki kubwabwaja tu hivi unadhani mourinho atachukua kikombe chochote msimu huu !
Mourinho asipochukua kombe mi nakunya mafungu mafungu mpaka kwa maghufuli....!!! Chelsea hachukui kombe lolote msimu huu....FA hachukui, ligi ndo kabisaa
 
EPL mpango mwingine. ..kuna team hazina majina ila hazifungiki na vigogo
 
Halafu mwambieni Conte bado hajielewi. Aaache utoto. Ataja kuaibika huko tuendako. Mhuni Mou anamcheki tu kama anavyomcheki Pep, na sasa kashamtia Pep kabali. Shauri zake mimi simo
Utoto upi?
 
Mkuu ligi ya uingereza sio ya mchezo, timu yeyote inaweza kuchukua ubingwa tofauti na ligi zingine

Umesahau kumwambia kuwa Granada na Levante wakija EPL hawatabanduka kwenye top four kama sio kuchukua ndoo....!

Mwambie kuwa La liga ni ligi bora kuliko EPL

Mwambie kuwa La liga imedominate soka la Ulaya kwa miaka 10 mfululizo, Champions League na Europa League

Pia mwambie Real Madrid ndio club tajiri kuliko zote dunian

Mwambie kuwa Barcelona yake ilikuwa tishio haijawahi tokea katika ulimwengu wa soka tuka dunia imeumwa

Mwambie pia, alimtetemesha Fargie na EPL yote

Mwambie pia, Messi wake alimtwanga 4 Wenger

Mwambie EPL ni internal league, nje ya hapo, wanapigwa hata na vitimu vya mtaani huko Slovakia
 
03-12-16
----------
Man City vs Chelsea

10-12-16
----------
Leicester vs Man city

18-12-16
----------
Man city vs Arsenal

28-12-16
----------
Liverpool vs Man city

MERRY CHRISTMAS MANCHESTER CITY AND A HAPPY NEW YEAR PEP GUARDIOLA
 
Na ndio itakuwa sumu yake. Mou na Fergie wanacheza kwanza kwenye vyombo vya habari kabla ya siku ya game. Maskini Pep mambo hayo hana. Nakumbuka kuna kipindi Fergie aligoma kuhojiwa na BBC kwa miaka kadhaa sababu hio hio ya kupenda kucheza game kabla ya siku yenyewe
Fergie aliwagomea BBC sababu ya mwanae alichanwa na BBC. ...alikuwa analipa fine kwa kipindi chote alichokuwa amegoma maana ile ni sheria,lazima uhojiwe. .....ila baadae waliyasawazisha.
 
Pep ajipange upya, EPL huwezi kushinda mechi 15 mfululizo kama alivyokuwa anafanya ligi nyepesi za La Liga na Bundesliga.
Bundasliger na Laliga kama ligi nyepesi inakuaje vilabu vya uingereza vinashindwa katika Uefa Champions League wana acha bingwa wa ujerumani na Spain wanashindana
 
Back
Top Bottom