Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
[emoji15] [emoji15] alishuka nao daraja?Benitez yuko na New Castle uko Championship anawawashia moto ile mbaya. Msimu unaokuja atarudi EPL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] alishuka nao daraja?Benitez yuko na New Castle uko Championship anawawashia moto ile mbaya. Msimu unaokuja atarudi EPL
[emoji15] [emoji15] alishuka nao daraja?
Una uhakika?Miaka 12 ajabeba EPL wala kombe lolote kubwa.
Unajua kuna vitu vingine waga mnarukia tu bila kuelewa, ata siku moja wenger hajawahi kuwa overrated bali amekuwa underrated kulingana na hiyo point yako uliyoitoa hapo juu ya kukaa muda mrefu bila kushinda kombe kubwa, ila wachambuzi na makocha wamekuwa wakipinga kumweka fungu la underrated wenger kwakuwa amefanya kile alichokuwa anatumwa kufanya na uongozi wakeNaelewa maana ya underrated
Umesahau pia kumwambia kuwa EPL pia kuna timu za chini kabisa zinazopigania maisha yao zishishuke daraja, ni burudani tupu!! Ukikutana nazo hizi lazima uhenye!Mwambien pep kuwa EPL kuna big match nne yaan
vs Man untd
vs Arsenal
vs Liverpool
vs Chelsea
alfu kuna mechi tano za wabishi wa ligi
vs Totenham
vs Southampton
vs Everton
vs Stoke
vs Westham
yaaan hawa jama hata uwe mgumu vipi lazim mmoj wao akufunge
alfu kuna mechi tatu na watu wenye bahati na ligi
vs Leicester
vs Sunderland
vs westbrom
na kuna mmoja kashuka daraja anaitwa wigan
yaan hawa jama kazi yao kuchukua poit moj moja tu kutoka kweny timu za big four ili mradi wabaki kweny ligi
Pep karbu sana epl huku hakuna granada wala levante.....ila huku kuna crystal palace ambao wana uwezo wa kumiliki mchezaj mweny thamani ya paund milion 30 plus mshahara paund 120000
Karibu katika ulimwengu wa vita na sio ligi kama ulivyozoea
Ngoja tu, soon wenger ataanza kupewa heshima anayostahili baada ya hawa overrated coach kuflop, maana wanamchukulia poa sana
utadai julio ni kocha bora kuliko kibaden,ksa kachukua kombeWenger ni overrated. Uwezi kumuweka kwenye levo moja na Pep au Mourinho. Makocha waliochukua makombe ya kila aina wakati yeye hana kombe lolote la Ulaya.
uefa majungu tu,hawana lolote,usiwaamin,blatter kafichua walvokua wanapanga mech wapge hela,huon ratiba ya uefa cl ipo tofauti leoNa ndo maana ligi ya uingereza imeporomoka viwango vya ubora wa soka UEFA
Fergie, Mou na Benitez ndo wanaijua hiyo ligi vizuri. Makocha wengine wanaonewa tu maskini. Bahati mbaya sana Benitez kajipoteza kiaina
toka mfungwe goli nne na conte mmebaki kubwabwaja tu hivi unadhani mourinho atachukua kikombe chochote msimu huu !Unajua EPL inabid uende kwa mahesabu makali la sivyo utaambulia patupu na mwisho wake ni kufukuzwa kazi.....cha msingi usitoke kwenye mashindano ili mwisho wa siku ulambe vikombe hata viwili ndo anachofanya mbishi mwenye roho ya paka na asiyejua mpira Mtu mzima Jose mourinho...sio Chelsea anapuyanga tu sa hv amebakiza makombe mawili...la ligi hawezi chukua linabaki FA ambalo liver naye analimendea...mwisho wa siku anaambulia patupu na wanafukuza kocha Kabla ya Christmas.....Ha ha ha haaa Ukweli mchungu na NGUMU KUMEZA
Mourinho asipochukua kombe mi nakunya mafungu mafungu mpaka kwa maghufuli....!!! Chelsea hachukui kombe lolote msimu huu....FA hachukui, ligi ndo kabisaatoka mfungwe goli nne na conte mmebaki kubwabwaja tu hivi unadhani mourinho atachukua kikombe chochote msimu huu !
Utoto upi?Halafu mwambieni Conte bado hajielewi. Aaache utoto. Ataja kuaibika huko tuendako. Mhuni Mou anamcheki tu kama anavyomcheki Pep, na sasa kashamtia Pep kabali. Shauri zake mimi simo
Umesahau kumwambia kuwa Granada na Levante wakija EPL hawatabanduka kwenye top four kama sio kuchukua ndoo....!
Mwambie kuwa La liga ni ligi bora kuliko EPL
Mwambie kuwa La liga imedominate soka la Ulaya kwa miaka 10 mfululizo, Champions League na Europa League
Pia mwambie Real Madrid ndio club tajiri kuliko zote dunian
Mwambie kuwa Barcelona yake ilikuwa tishio haijawahi tokea katika ulimwengu wa soka tuka dunia imeumwa
Mwambie pia, alimtetemesha Fargie na EPL yote
Mwambie pia, Messi wake alimtwanga 4 Wenger
Mwambie EPL ni internal league, nje ya hapo, wanapigwa hata na vitimu vya mtaani huko Slovakia
Fergie aliwagomea BBC sababu ya mwanae alichanwa na BBC. ...alikuwa analipa fine kwa kipindi chote alichokuwa amegoma maana ile ni sheria,lazima uhojiwe. .....ila baadae waliyasawazisha.Na ndio itakuwa sumu yake. Mou na Fergie wanacheza kwanza kwenye vyombo vya habari kabla ya siku ya game. Maskini Pep mambo hayo hana. Nakumbuka kuna kipindi Fergie aligoma kuhojiwa na BBC kwa miaka kadhaa sababu hio hio ya kupenda kucheza game kabla ya siku yenyewe
Bundasliger na Laliga kama ligi nyepesi inakuaje vilabu vya uingereza vinashindwa katika Uefa Champions League wana acha bingwa wa ujerumani na Spain wanashindanaPep ajipange upya, EPL huwezi kushinda mechi 15 mfululizo kama alivyokuwa anafanya ligi nyepesi za La Liga na Bundesliga.